ajira za walimu wapya 2013

Status
Not open for further replies.
Lkn nilimsikia mulugo akisema ajira za walimu ni wiki hii,leo ijumaa wiki ndo hiyo inaisha,Hii ishakuwa siasa sasa
 
Jaman hi serikal haina mcmamo na haiend na kalenda v2 kama ivo vnatakiwa kuwa open na kila 1 ajue kuwa n lin yanatoka
 
Serikal imeshakopeshwa tayari na pesa za kujikimu za walimu,inawezekana tarehe 4 mambo yakawa safi,tusubiri jamani.
 
Mbona ahadi nyingi hazijatelezwa?kwann tulaumu post za walimu?maisha bora kwa kila mtanzania yako wap?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom