Unajua namna ya kudumu muda mrefu ktk mechi?...

Unajua namna ya kudumu muda mrefu ktk mechi?...

Jamani mie huwa nachelewa sana yani goli la kwanza ni dk 30. Hapo nakuwa nimesha fanya romance ya kutosha huku mwenza wangu njia ikiwa inateleza tayari kwa kupokea. Mie nafikiri ni jinsi ya kutumia akili. Ukiona inataka kutoka vuta kumbukumbu ya jambo lilo kuogopesha hapo haitoki kwani akili inakuwa imehama. Ukiona mwenzio sauti inaanza change basi rudisha akili pale utaona utamu wake.
 
yaaah me najua mume wangu anatakiwa ale chakula gani 7babu naenda kwa ratiba sio kama nikilala nikiamka nakurupuka 2 lazima uwe na mpangilio mzuri wa vyakula hivi unajua mwanaume anahitaji kupetiwa petiwa

I'm happy kama upo kwenye kundi la wachache walioiga kitu kwa mama zao, sio hawa wa Dot.com kulalamika hakuwaishi huku kutunza hawajui.
 
Kuna kujishika ktk ankle kwa mkono ukiona wazungu wanakuja,huwa wanarud wakanze upya safari.

Hebu tuelezee kwa undani kidogo mkuu, nimekuwa interested nayo.
 
Daaah...haya maujanja sijawahi kuyasikia....ni mpya sana:confused2:
Kuna kujishika ktk ankle kwa mkono ukiona wazungu wanakuja,huwa wanarud wakanze upya safari.
 
Ofcoz, maini yangu yana uwezo wa kudigest kokoto hadi wa leo. Ila hii diskasheni, mmh! Mnahitaji kufunzana?

Sawa bi - King'asti sasa katika mafunzo inakuwa ya wazi au ya kificho.....................!:madgrin:
 
Back
Top Bottom