Endelea na msimamo wako wanaume wenyewe akishakutumia anakuona malaya na hufai
Moyo wa mtu ni kichaka huwezi kujua anakupenda kweli au ndo anakula kimasiharaa
Kwa upande wangu ndugu zangu walikua na akili sana halafu mie kawaidaa hvyo wakawa wananitenga
Na mimi nikaanza kujitenga nao,nkajtenga na jamaa na marafiki pia hali hii imeendelea hadi sasa najichukia natamani niweze kujichanganya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.