Ukiwa huna kitu hakuna mtu atayejishughulisha na wewe ila ukipata tegemea yafuatayo

Sep 10, 2019
72
125
Umaskini mbaya sana
Kwenye ukoo wetu mimi na vikao nashiriki lwa lazima la sivyo ntaenda kuosha masufuria staki kusikiliza upuuzi wanaoongea watu wenye hela na vile wanavyowasapoti. Sijawahi kutia neno maana ndio sie tunaoleta vurugu
Jamn mbavu zangu mie, nmecheka xn had washkaj wamenishangaa.....

Nguvu ya watu wenye hela kwenye koo zetu za kiafrika haitofautiani nguvu ya watu wenye vyeo vikubwa uko makizin kwetu

Maskini waeza toa hoja yenye mashiko lkn tajiri asipo ielewa na akaipinga basi jua ushafeli

Huko makazini kwetu pia mke wa boss hata aongee hoja ambayo haina msaada kwenye kampuni hakuna wakuipinga sa jifanye wewe unauchungu na kampuni km ya mjomba ako wk 2 mbele utaambiwa nenda kasalimie bibi ako ata km umetoka huko weekend iliyopita

Uongo mbaya pesa iko juu ya kila ktu
 
Vi rendra

JF-Expert Member
Sep 11, 2017
2,715
2,000

hahahahaha cheka mwenzangu
mambo mengine changamoto, mimi nilikua naumia zamani badae nikaja kujua Umaskini is a state of mind
Naonaga kawaida halafu wakileta dharau zao nawaenjoy nakua kama mkongo nawapaisha basi wananeemeka
 
bashitegufu

Senior Member
Mar 18, 2017
188
250
Loooh
Kwenye hivyo vikao hata round ya bia ikipita, kama huna hela, utasikia huyo mpeni mirinda nyeusi. Au ukichangia kitu tofauti na wengine na kama huna pesa, utasikia, huyo kashalewa, hata kama uko kwenye dozi ya malaria (ambayo hukataza kunywa pombe.
 
Ferruccio Lamborghini

JF-Expert Member
Apr 15, 2020
360
500
Kwenye vikao vya familia/ ukoo nguvu ya maamuzi inaongezeka, ila ukisimama mwenzangu na mimi kuchangia utaambiwa unaleta vurugu.
Kweli
Screenshot_20200620-172515.jpg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom