Breaking bad
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,464
- 3,497
Maisha ya mwanadamu yana hatua mbalimbali kama vile utoto, balehe, ujana, utu uzima na uzee.
Kutokana na sababu mbalimbali baadhi yetu hujikuta tunaruka baadhi ya stage.
Binafsi nimekumbwa na tatizo hili kwani kwa takriban miaka sita tangu nilipo maliza shule ya msingi na kipindi chote cha balehe yaani nikiwa sekondari nimeishi kivyanguvyangu tu bila watu yaani nilikuwa karibu na familia tu hasa wadogo zangu.
Hii imepelekea kupoteza marafiki zangu wote wa shule ya msingi na kushindwa kutengeneza wapya.
Hali hii imepelekea kupoteza marafiki zangu wote wa utotoni na shule ya msingi, kutopanuka kwa fikra zangu au uwezo mdogo wa kufikiri, kushindwa kuishi na watu au jamii, kupoteza vipaji vyangu, kushindwa kujiamini au uoga, kukosa mtandao wa watu au connection, na kadhalika.
Hali hii imepelekea kufanya vitu ambavyo vijana wengi wa rika langu hawafanyi kama vile kucheza mpira na madogo niliowazidi umri, kuwafuatilia sana my primary school classmates on social media kwa fake account hasa wakina dada, kushindwa kupata mishe yoyote ya kupiga ili kupata pesa nk.
Kwa wale ambao mmewahi pitia hili au wanasaikolojia tusaidiane mawazo basi tunavukaje sababu hii kitu ni mbaya sana aisee kwa mtu yeyote.
Note Im 20 years old right now and I want to take a new direction in my life.
Shukrani kwa wote mtakao contribute mawazo yenu hapa and God will bless you for you changing someone life