Sasa mbatia sisi tunataka mabadiliko .uko kuwa na ccm kama mtoto wakambo..nilikua nakukubali kuanzia leo navua uanachama wa chama hakika
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe kashawishika kujiunga na ccm..hapo kuna jambo lasiri..ila kwa kweli hawana chao.na hawapewi kazi..waliounga juhudi ni wengi na kzi ni chache sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.