Recent content by tezzy

  1. T

    JamiiForums Tanzania Maalumu kwa ushauri wa kombination inayofaa kwenda nayo Form five

    Tafadhali s332/234 jina la shule ni morogoro
  2. T

    JamiiForums Tanzania Maalumu kwa ushauri wa kombination inayofaa kwenda nayo Form five

    Morogoro secondary school
  3. T

    JamiiForums Tanzania Maalumu kwa ushauri wa kombination inayofaa kwenda nayo Form five

    Msaada tafadhali s332/234
  4. T

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufanya biashara ya vitenge

    Na vipi kuhusu watu wa ushuru, hawatasumbua njiani? Maana mara nyingi wanavizia mabasi yanayotoka huko wakijua kuwa lazima kuna wafanyabiashara waliofunga mzigo wa vitenge.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Consultancy

    Heshima yenu wakuu, naomba msaada kwa anayejua website inayoonyesha nafasi mbalimbali za consultancy kwenye NGOs mbalimbali mf. Evaluation, training n.k
  6. T

    JamiiForums Tanzania Nyumba za wageni sinza

    Niliweka range ya twenty five to fifty mkuu...sasa hiyo thirty nafikiri ipo ndani ya range hiyo
  7. T

    JamiiForums Tanzania Nyumba za wageni sinza

    Nina wageni jmn...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Nyumba za wageni sinza

    Wana jf naomba msaada wa anaefahamu nyumba za wageni nzuri na safi sinza...ziwe zina price range ya twenty five to fifty thousand. Na zisiwe mbali sana na shekilango road. Natanguliza shukrani
  9. T

    JamiiForums Tanzania mapishi ya nyama ya kusaga

    Waweza pika sambusa, kababu, tambi na nyama ya kusaga e.t.c
  10. T

    JamiiForums Tanzania natafuta nyumba usa river

    Natafuta nyumba ya kupanga USA RIVER Arusha, iwe na vyumba vitatu vya kulala na parking. Mwenye nayo ani PM bei.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Bata mzinga (turkey)

    Naweza pata mayai pamoja na vifaranga? Kama vipo bei yaendaje
  12. T

    JamiiForums Tanzania Naomba tusaidiane kwa hili

    Naongeza jamani semolina ni nini kwa kiswahili
  13. T

    JamiiForums Tanzania Rav4

    Wana jf nihataji kununua rav4 milango mitatu ya mwaka 1996-1999 (auto) ambayo ipo ktk khali nzuri. Bei isizidi 9m. Mwenye kuweza fanya hiyo biashara ani pm. Natanguliza shukurani!
  14. T

    JamiiForums Tanzania Jordan express co ltd waagizaji wa magari ya bei poa kutoka japani.

    Rav 4 milango mitatu mnayo, na bei inaendeje
  15. T

    JamiiForums Tanzania toyota altezza

    naomba kujuzwa wanajamii, hii gari (toyota altezza) ina matatiza gani ukilinganisha na toyota zingine i.e corolla
Back
Top Bottom