natafuta nyumba usa river

natafuta nyumba usa river

tezzy

Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
20
Reaction score
2
Natafuta nyumba ya kupanga USA RIVER Arusha, iwe na vyumba vitatu vya kulala na parking. Mwenye nayo ani PM bei.
 
kuna nyumba ilikuwa maeneo ya makumira jirani na chuo cha tumaini si mbali na usa pale, sasa sijajua ka huyo mtu alishapata mteja, ukihitaji ntakuelekeza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom