toyota altezza

tezzy

Member
Jul 7, 2011
20
2
naomba kujuzwa wanajamii, hii gari (toyota altezza) ina matatiza gani ukilinganisha na toyota zingine i.e corolla
 
mmh, kwa kweli sijui sana, ila leo nimekutana na rafiki yangu anatafuta disc pads pale kisangani kaambiwa bei ni 120,000 kwa set. ila ukitaka za taiwan ni 30,000 ananiambia alifunga za taiwan zimeisha baada ya two months.
 
haina tatizo the best car i ever seen .....niko nayo mwezi wa tatu sasa ina cruise vibaya sana ...yaani ijumaa iko dar usiku napiga ulanzi iringa jtatu iko dar.....very nice car .....labda tatizo lake kubwa ni kuwa inakimbia sana
 
Daaa sio mchezo na nilikuwa nafikiria sana kununua kama hii sasa upande wa wese inakuwaje mkuu maana ni 2000cc hapo inakula sana au kawaida tu??
 
Uendeshaji wako wa gari ndio utadetrmine fuel consumption!2000cc ni average car,mm natumia 2500cc na wala hainiumizi coz i drive sensibly!
 
Daaa sio mchezo na nilikuwa nafikiria sana kununua kama hii sasa upande wa wese inakuwaje mkuu maana ni 2000cc hapo inakula sana au kawaida tu??

Inatumia mafuta zaidi ya corolla kwasababu ya tofauti ya engine cc,lka kwa safari ndefu tofauti ni ndogo sana.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom