Rav4

Rav4

tezzy

Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
20
Reaction score
2
Wana jf nihataji kununua rav4 milango mitatu ya mwaka 1996-1999 (auto) ambayo ipo ktk khali nzuri. Bei isizidi 9m. Mwenye kuweza fanya hiyo biashara ani pm.
Natanguliza shukurani!
 
mkuu nipe kazi nikuletee ya uk, unanilipa m6 ushuru unalipa mwenyewe, kama huko tayari tuwasiliane
 
mashine hii hapa mkuu, mwaka 1996 imetembea miles 79000


r1.jpg r2.jpg r3.jpg r4.jpg r5.jpg r6.jpg r7.jpg
 
Back
Top Bottom