Una wageni kweli au matumizi yaleeee..............??????????
Wana jf naomba msaada wa anaefahamu nyumba za wageni nzuri na safi sinza...ziwe zina price range ya twenty five to fifty thousand. Na zisiwe mbali sana na shekilango road. Natanguliza shukrani
Kwa hiyo bajeti yako mkuu nadhani utapata ya kawaida...ongeza hadi 30k hivi utapata nzuri.
30k? what is this?
K stands for KILO (thousand), that why we have KILOgram means a thousand grams, KILOmeter for a thousand meter.
Inategemea mkuu,
Kwenye lile Jukwaa letu pale chini kabisa, "K" ina maana ingine kabisa!
Kwa hiyo bajeti yako mkuu nadhani utapata ya kawaida...ongeza hadi 30k hivi utapata nzuri.
30k? what is this?
mkuu 30k=30,000...yeye range yake kasema 25,000-50,000...labda utupe maana ya 30k
Inategemea mkuu,
Kwenye lile Jukwaa letu pale chini kabisa, "K" ina maana ingine kabisa!
Hivi ile BLUEBIRD bado ipo?