Naomba kusaidiwa,
Mimi nina rafiki yangu anafanya kazi mashuleni serikalini ni mtumishi, anafanyia kazi mkoa flani, mzazi wake anaishi mkoa mwingne, na mazazi wake anaumwa ugonjwa ambao ni very serious sana, ana mdogo wake wa kike.
Kitu ambacho kinamwiia vigumu kumuhudumia baba yake, amejarib...