Naomba msaada ndugu

Naomba msaada ndugu

tetestaly

Senior Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
126
Reaction score
59
Naomba kusaidiwa,

Mimi nina rafiki yangu anafanya kazi mashuleni serikalini ni mtumishi, anafanyia kazi mkoa flani, mzazi wake anaishi mkoa mwingne, na mazazi wake anaumwa ugonjwa ambao ni very serious sana, ana mdogo wake wa kike.

Kitu ambacho kinamwiia vigumu kumuhudumia baba yake, amejarib kuomba ahamie aliko mazazi wake imekuwa mtihani anaomba likizo ya kumuuguza baba yake imekuwa mtihani, sasa hapa anawaza afanye nini maana yeye ni mtumishi wa serikalini, yeye ndo amempa baba yake kadi ya bima, mshahara ndo anaotegemea.

Naombeni msaada tumshauri ndugu yetu.
 
Huo msaada angeuomba huyo ndugu yako ingependeza zaidi.
Hapa utaweka chain kuwa ndefu.
A-B-C mpaka D .
Mwambie aende TAMISEMI Dodoma akamwone dereva wa boss yeye ndo atampa connection ya uhamisho wa chap.
Madereva na walinzi ndio wenye connection, tatizo hamtusalimiagi.
 
Kaka shikamoo!! Nishakusalimia broo
 
kama yeye hawezi kuhama,bas baba ahame...tumia kanuni ile ya ukiona mambo hayaendi,nenda wewe
 
Huo msaada angeuomba huyo ndugu yako ingependeza zaidi.
Hapa utaweka chain kuwa ndefu.
A-B-C mpaka D .
Mwambie aende TAMISEMI Dodoma akamwone dereva wa boss yeye ndo atampa connection ya uhamisho wa chap.
Madereva na walinzi ndio wenye connection, tatizo hamtusalimiagi.
Mkuu acha sifa zakijinga uchawa haufai kwani huyo boss Ni Nani mpaka hasipatikane easily
 
Back
Top Bottom