Recent content by TENGULE

  1. T

    Nitavaa ped muda wote kuanzia leo

    nakuunga mkono
  2. T

    Madhara Ya Mapenzi Ya Aina Hii,.

    Wa2 wengne bhana! Ulmtongoza wa nin kama ulikua humpend!
  3. T

    Mke wangu hapendi ndugu zangu.

    Pole sana kaka, jarbu kumwelekeza taratbu atakuelewa 2! ila n tabia mbaya sana, au jarbu kuchunguza vzur kutakua na sababu inayomfanya mke wako kua ivo!
  4. T

    Hongera JK Utakumbukwa kwa Mengi, hasa kwa haya...! CCM oyeee!!

    ukwel kabisa labda 2mpongeze kwa ivyo na c vngnevyo
  5. T

    Hongera JK Utakumbukwa kwa Mengi, hasa kwa haya...! CCM oyeee!!

    Labda n hongera ya kufanya maisha magumu zaid kwa watanzania na bora kwa wachache sana, kuteswa na kuuliwa kwa watanzania katika kupigania hak zao
  6. T

    My ex anataka kuvunja uchumba wangu.

    ukthubu2 ata kdogo sababu atakusumbua zaid ata za sa iv
  7. T

    Akawaambia, “Nawaachia mumshughulikie…..!”

    Iwe fundisho kwa wanaume wote wenye kutaman vya wa2, na hata wanawake pia
  8. T

    what do u prefa, möney o education to your fiance? GIRLS, GIRLS PLZ HELP!

    Chagua unayempenda dada na c pesa, kama ukfata pesa cku akiishiwa je we unazan utaendelea kuwa nae kat ulmpendea pesa? Na kumbuka elim ya m2 haiish kchwan ad cku ya kufa kwake, umeona ee? So fanya mamuz ya busara dada
  9. T

    Natamani hata kunywa sumu, mapenzi jamani...

    Pole sana dada, jaribu kusahau, ka mbal nao pia jiweke bize na mambo yako assume hukuwah kukutana na m2 huyo
  10. T

    Huyu binti kanikera naomba ushauri

    Iv ata uon aibu kuomba ushaur ju ya hil, we unafkir 2takupa ushauri gan sasa kati uyo bnt c mke wako, cha muhimu we ka2nze familia yako na mwache bnt, na alvyokwambia kuwa anatafuta wa kumwoa n kwel coz we huwez kumwoa, kingne kwa imani yako mwombe MUNGU akusamehe pia iombe na familia yako msamaha
Back
Top Bottom