Fundi mahiri wa Ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 5,044
- 4,440
- Thread starter
- #21
Loooh mateso bila chuki
Umeona eeeh
Loooh mateso bila chuki
Mbebs aliyetupia bright white tank top, jeans ya True Religion yenye darizi kwenye mifuko ya nyuma na mbele kidogo, halafu katupia shades za Ferragamo.
Mkononi ana begi kali ya Balenciaga, nywele kama singasinga, ngozi nyororo mithili ya unyayo wa mtoto....
Unyunyu kanyunyizia wa Amouage halafu chini katupia viatu vyake vya kokoko.
Hiyo miondoko yake sasa.....ana sashay kwa raha zake na hana time na mtu.
Wacha tu aisee. Mavumbini huwezi pata totoz kama hizo. Huko zipo wannabees tu.
hata mabaamedi pia watamuua!
BAsi wadada wa kwenye mabenk watakuua
Nielekeze unapatikana wapi nikufuate nije kukukodolea mimacho
Kipato chako kimezidi kunipa mashaka zaidi LOL
Kipato changu kwa mwezi ni shillingi 80,000 nimepanga kodi nalipa 20,000 kwa mwezi bado nauli ya kwenda kibaruani na hapo sijamwachia wife hela ya matumizi ya nyumbani. Nikitoa matumizi yote nabakiwa na -20,000. hebu niambie nitapata wapi hela ya kununua viwalo vya thamani kama hivyo
Hataweza kukukodolea macho kwa sababu hajaona viatu vyako vya mchuchumio.Niko hapa,ila naomba uache kunikodolea macho
mmh! Unalooo!
Hataweza kukukodolea macho kwa sababu hajaona viatu vyako vya mchuchumio.
Wanasemaga eti LOVE CAN CHANGE ANYTHING yawezekana kukupata ww kunaweza badilisha kipato changu kidogo kuwa kikubwa
hayo ni maneno hata kwenye kanga yapo
sawa ndugu sisi ambao hatuna mkwanja tutawala kwa macho tu
mzizi......Salaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam,
Mficha ugongwa mauti humuumbua, acha ni seme ya moyoni.
Nikimuona tu moyo wangu hupwitapwita kama unangojea matokeo ya mtihani ambao unajua hukufanya vizuri,
Akipita tu namkodolea mimacho hatari,
Akitabasamu tu na anza kuimajine tukiwa faraga mm na yy itakuwaje,
Tukigusana tu ...................uume husimama hatari,
Unajua huyu ni nani?
Binti yeyote alievaa kiatu kizuri, sio kizuri tu pia kiwe kizuri na kirefu halafu awe ametilia na nguo flani hivi ya kisasa, namaanisha skirt flani hivi iliyoishia juu kidogo ya magoti plus blazia iliyomkaa vizuri na saa flani hivi yenye mvuto.
Ila sijui kama hapa MMU kuna mtu kama huyu!
mzizi......