uzuri wa damu bwana ikianza tu lazima utahisi k imekuwa nzito ..so lazima ukajicheki toileti yaani haiwezekaniki hadi mtu ulowane chapachapa bila kujua ,,,hata harufu si itatoka sasa kama ni kuloa...Ndio hapo ss...chechepe usijue
aloanzisha hii thread ni mwanaume na wanaomsupport ni wanaume ...angesema kachafuka kidogo ningeelewa eti kaloa tilalila !!!!!!!! haiwezekani lazima hata kwenye mapaja angesikia kitu hata harufu angesikia...ile damu sio mchezoaah wapi haipo hivyo huwa unasikia hata kaunyevu unyevu unaenda kujichungulia chooni
uzuri wa damu bwana ikianza tu lazima utahisi k imekuwa nzito ..so lazima ukajicheki toileti yaani haiwezekaniki hadi mtu ulowane chapachapa bila kujua ,,,hata harufu si itatoka sasa kama ni kuloa...
"... Nikiwa nahudhuria kikao na wadau wengine katika sekta ninayofanyia kazi, tulipobreak kwa breakfast nanyanyuka huku nikicheka na wanawasha wenzangu, oh my God! damu zimejaa kwenye kiti na sketi yangu nyeupe ipo chepechepe, nimepatwa na mfadhaiko wa kutisha, nimeanza kubreak kabla ya wiki 1 na nusu ya muda wangu bila kutarajia, kuanzia leo nigeuza ped kuwa kama chup, nitaivaa siku zote ....".
Hayo si maneno yangu bali ya mwanamke mtaani kwetu, aliyatoa katika hali ya mfadhaiko mkubwa.
aloanzisha hii thread ni mwanaume na wanaomsupport ni wanaume ...angesema kachafuka kidogo ningeelewa eti kaloa tilalila !!!!!!!! haiwezekani lazima hata kwenye mapaja angesikia kitu hata harufu angesikia...ile damu sio mchezo
uongo mtupu.yaani hadi ulowane usihisi kitu ? hakunaga
uongo mtupu.yaani hadi ulowane usihisi kitu ? hakunaga
aah wapi haipo hivyo huwa unasikia hata kaunyevu unyevu unaenda kujichungulia chooni
wewe unadhani siku zote utasitukia kila kitu? hutokea siku usiyoijua likatokea jambo ukashangaa imekuwaje hadi hujasituka.
Mh jamani mtu ukiloa unahisi unyevunyevu!!!lazima utaona tofauti tu labda kama senses zimekufa huko!