Kuna barabara mbili ambazo kwa uelewa wangu ni 'public '.Kuelekea Msewe na Ch' keni kutokea Ubungo au Savei. Sasa Chuo kinapozungumzia ulinzi wa 'viunga' vyake ni pamoja na hizo barabara?Au ndio sababu wanakagua hata 'guta "yenye shehena ya mazao kutoka Mabibo sokoni?
Sent using Jamii Forums...
nashauri hawa askari wawe na sticker wanazobandika kwenye gari baada ya kulikagua na kuandika tatizo kama lipo. kwa njia hii itawasaidia askari wengine sehemu nyingine kutofanya ukaguzi kwa siku hio hivyo kusave muda kwa wote.
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
mbona mtumizi ya mshine kwa kulipia faini za makosa ya barabarani hazijaanza kutumika mikoani kama mlivyoahidi? au notification za kuandika ni mradi?
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
actually hao walinzi wa chuo kikuu wanakera. ukipita na kuku, umempata wapi?ukiwa na ng'ombe ndio kabisa umekua deal.wanajifanya hawajui kua ile barabara ni public.
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
mambo mengine ni ya kisomi. huo unaoitwa mchanga kwa uelewa wangu ni mfano wa unga wa mawe uliosagwa na kufanyiwa uchunguzi (analysis to know concentration of different elements, eg copper, gold,tin,silver, etc.).depending on the level of each element it will be called either gold or copper etc...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.