Ha ha ha ha eti ndo wanajenga peke yao wakati huu.
Mkuu, gari lako lina makosa ndio maana unatozwa faini. Moja ya sababu kwa ninirushwa itaendelea kuwepo ni utayari wa watoa rushwa kushawishi tena kwa kupiga magoti kutoa rushwa. Wakosaji hawako tayari kuhakikisha makosa yao yanakoma, nabaadhi ya makosa kuyarekebisha ni gharama kuliko kulipa faini na ni gharama zaidi kuliko kutoa rushwa.
Naamini wenye magari tukibadirika, na matrafic watabadilika.
Nikujulishe tu, kati ya hela inayoangaliwa kwa macho makubwa ni pesa za notification za polisi, hata Magufuri anapiga mkwara makosa yakiwa pungufu.Sema ukweli, hakuna siku ulishawishi kutoa rushwa lakini askari wakakataa? unadhani kwa nini? Ujue mkuu amempiga mkwara IJP kuwa makusanyo ni kidogo. Na serikali inajua sisi siyo wakamilifu.