Recent content by Televoco

  1. Televoco

    Umasikini ndio Ugonjwa Mbaya kuliko yote Duniani

    Umetoa uzi na kuhakikisha unanyamazisha hadi maskini tusitoe povu..anyway njia za kutusaidia kupata mitaji mtutajie pia, njia za kupambana na umaskini katika mazingira yoyote yale hadi kuushinda na je, inachukua mda gani kupambana na umaskini hadi kuushinda?? povu ruksa!
  2. Televoco

    Athari za kubeti

    Poleni sana maana mtoa maada kazungumza kuhusu hasara ambazo ni za kufikirika na si za kushikika, kajitahidi kuegemea kwenye msimamo wake, lakini ingelikuwa vizuri kama angelitaja faida pia ili watu waelewe. Kitu kuwa haramu ni imani tu, ndio maana wengine wanatumia kitimoto kwa wengine ni...
  3. Televoco

    Shetani hajawahi kuwepo, Acheni uoga na masingizio!

    Mtu anawaza kwa akili zake ndogo zikishindwa kumpa majibu anatoa hitimisho analohisi ni sahihi, mfano mtu anasema "utakufa uoze kama pundamilia" naweza nisikupinge lakini kabla hujajiuliza maswali makubwa naomba nikuulize maswali haya ukijibu vizuri nadhani utaanza kupata uelewa kidogo 1) Sijui...
  4. Televoco

    Je, uliwahi kuwa maarufu shuleni?

    Wengine sisi tumepita kama kivuli.
  5. Televoco

    WEWE KIJANA WA KIUME

    Hapo ni kuhamia kwenye ulimwengu wa kugegeda na kuondoka(chapa ilale).
  6. Televoco

    Mshahara wa Lissu; Kuna tajiri mmoja duniani ataingia kwenye historia

    Kati ya pande mbili zilizopo tanzania, kwasasa sioni wenye uafadhali, wanunuaji na wanunuliwa ..kidogo bora wanunuliwa kuliko wanaonunua kwa kutumia kodi yangu walonidanganya watafanyia maendeleo yaninufaishe mwisho wa siku sina ajira na kitu kitu bei ya juu? sawa tu!
  7. Televoco

    Nimekutana na yenye harufu kama Apple punch

    Ni kweli, mi nahisi maji yanayotumika UDOM ni chanzo maana ukioga tu usijikaushe vizuri, unao!
  8. Televoco

    Rais Magufuli, karibu utumbue UDOM, kuna watumishi wanakwamisha malipo ya wanufaika wa mkopo kutoka HESLB

    Wachangiaji wengine humu ndo wapigaji, unakuta mtu anajifanya kujua kubwabwaja mara ooh, serikali ya wanafunzi, mara uongozi wa chuo mara sijui waz...We unadhani hao wanaolalamika ndo hawajui kama kuna ngazi zote hizo? wamehangaika kwenye ngazi zote hizo wakachoka tatizo halitatuliwi. Mi...
  9. Televoco

    Kuwa na mpenzi kunahitaji makubaliano au umri unaofanana?

    Nimegundua tatzo lako "unasoma sana"! , mkuu hakuna cheti kwenye mapenzi eti, kuwa na mtu ambae roho yako kwanza inajiskia vizuri kuwa nae , sio waloandika sifa zake huko unakosoma maana huyo aloandikwa ni mapenzi ya mwandishi ambayo ni tofauti na yako! mfano mimi huwa napenda mapokezi(sura...
  10. Televoco

    Kusema kweli Ada ya kufanyia miamala imepanda mara dufu

    Samahani lakini , hivi wakoloni bado wapo au walishaondoka? uhuru ndani ya nchi upo hilo sina shaka , ila ni uhuru wa kufanya nini uliopo? mimi hata sielewi elewi lakini angalau ugumu wa maisha unanitia adabu sasa!
  11. Televoco

    Elia Michael: Kupona kwa Tundu Lissu kumetibua mipango iliyokuwa imepangwa

    Mh! hivi nikichangia kwenye uzi huu sishughulikiwi na wasiojulikana kweli?? Hapana! endeleeni nawasikiliza!
  12. Televoco

    Wadada wa barbershop mpunguze utundu, yaani mwili wangu wote unasisimka

    Mi mambo haya najenga picha tu akilini, sijui chochote sijawah fika huko, pesa zenyewe taabu na hivi mjomba ndo kashikilia pesa na kazi sina...Msichoke kunisimlia ndugu zang labda sikumoja ntashinda beti tufaidi.
  13. Televoco

    Biashara itakayo kutoawakati huu Wa jpm

    Write your reply...Da! Kweli hatupendani jamani, hayo mawazo yote hamna hata moja linayoitakia mema hiyo milioni moja na nilichogundua cha kushangaza zaid, hata hiyo milioni moja haipo!
  14. Televoco

    Kilichomponza mwl aliyepigwa kifungo cha kunyongwa, ni tabia ya wanaume wengi

    Kwa akili yangu ndogo nilidhani badala ya kuvutana kwa kulalamika alikuwa sahih au la, tungejaribu kuangalia ni jinsi gani tubadili mfumo wa maisha ya wanafunzi pamoja na kuangalia adhabu za viboko. Binafsi sipendi adhabu ya fimbo,ningependa saikolojia ndo itumike zaidi hata kutoa adhabu maana...
Back
Top Bottom