Ilani ipo siku zote lakini ilani si kitu hai. Ni watu ndio wanafanya kazi. Ndio maana huwa kuna uchaguzi, na kazi yake si kubadili ilani bali watu. Ndio maana kuna mahakama, lengo lake si kuhukumu ilani bali watu. Ultimate point ni WATU - ndio maana Magufuli anastahili sifa nyingi.
Katika hilo Makonda nakuunga mkono. Kama taifa hili na Afrika kwa jumla tunataka kupiga hatua na kukata minyororo ya mabepari wenye uchu, hakuna namna ya kukwepa baadhi ya mitazamo na actions za Baba Magufuli.
Kwa jumla elimu yetu ni content-based badala ya kuwa skill-based. Ndio maana hivi sasa serikali inajaribu kubadili mitaala na kuja na kitu wanachoita Competence-based curriculum (Mtaala unaolenga umahiri) - sijui kama tuna mipango ya kutosha kufanikiwa.
Kwa hiyo, haishangazi kama mtu anakuwa...
Yote haya ni kweli. Globalists wako busy kwa nguvu sana kufikia malengo yao maovu (new world order), yakiwamo:
1. kupunguza watu
2. kuwa na serikali moja duniani inayosimamiwa na the so called "umoja wa mataifa"
3. kujenga totalitarian system ambapo KILA KITU kinakuwa monitored very closely...
Hakuna shida. Cha msingi ni kuwa na spirit ya kusoma. Kama unafanya hivyo, kongole. Lakini pia unaweza kunisaidia kwa kuniambia kwa nini namba 1 imenishusha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.