Recent content by Telecoms

  1. T

    Yericko Nyerere afikishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya makosa ya kimtandao

    Angechelewa kuelewa.. Ingetuchukua muda mrefu ili aelewe.
  2. T

    Basi la Kampuni ya SABCO limepata ajali likitoka Arusha kwenda Dar

    Hizi Sabco bado zipo?? Nazikumbuka njia kuu ilikua Dar-Kyela/Tunduma? Mtoa Mada ni Sabco au Shabco??
  3. T

    Tanzia: Katibu wa madereva nchini afariki dunia

    Jamani tunamzunguzia huyu?
  4. T

    Watu waliosomea hisabati!!

    Hahaha Hisabati na Speed up ya Maamuzi!!! Je kuna wataalamu wa Hisabati ya ofauti kati ya Hisabati y ya Kuandika na Kuongea???? Hahaha Hisabati na Speed up ya Maamuzi!! Je nanyi mna wataalamu wa Hisabati ya Kuandika na wengine Hisabati ya Kuongea?? Tuanzie hapa; Andika au tamka kwa...
  5. T

    Minara Mipya Vodacom Sh. Mil. 220, si Uongo huu?

    Buluwaya, Hawa ni wawekezaji tu ktk sekta ya Mawasiliano upande wa Miundombinu...wako Worldwide si Tanzania pekee. Zipo kampuni nyingi tu za uwekezaji ktk Miundombinu hiyo na hizi Tender uwa za kushindania that why hukusikia Airtel ila kesho au keshokutwa waweza sikia minara ya Airtel iko chini...
  6. T

    Matapeli hatari, chunga wasikudake

    Duuh Yaani umesomeka vyema!!
  7. T

    Minara Mipya Vodacom Sh. Mil. 220, si Uongo huu?

    Mtoa Mada nadhani hawa wamesaidia kukupa jibu; Mulindi,Yodoki II,J33,Gulf Streamer. Yodoki II; Kuna outsourcing ilifanyika ya Minara kwa kampuni ya HTT(owner wa Minara ya tigo na voda kwa sasa). Huyu bwana HTT alianza kwa style ya kununua kwanza,kisha anakungisha yaani aje ktk nyumba yako...
  8. T

    Msaada: Basi la haraka kutoka Dar-Kilimanjaro

    Ooops! Dar express unapandia Millenium Business Park-Shekilango (rectify early quote).
  9. T

    Msaada: Basi la haraka kutoka Dar-Kilimanjaro

    Binafsi Dar Express na Ngorika niliwahi safiri nazo... Sasa itategemea na muda wako,hizo zote 12 Asbh ....Dar Exp advantage haitokei UBT unapandia hapa Millenium Tower . Thus zinawahi kwa gari za 12Asbh. Next time nilisafiri na gari za saa 1.30 Asbh nikapanda Bufallo....tukitangulia huku...
  10. T

    Evarist Chahali, hili limenitisha!

    Ni ndugu na Dina Chahali wa CH10??? JF kiboko sana ....safi ! Kuna darasa kubwa kwake na wengine wa design yake wenye cv za viapo .....tusipende kuleta dharau za kizamani (dstv kwa mmoja unasema kesho Mohamed Ally atashinda kumbe ushaona kwako usiku wake).
  11. T

    Mtoto wa miaka 7 auawa kinyama, alawitiwa na kunyongwa kisha kutupwa kisimani

    Inasikitisha sana! Sheria mkondo wake,kwa mtitiriko wa mleta ushahidi wa kuanzia upo hatua za haraka zinapaswa kuchukuliwa.
  12. T

    KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018, Novemba 17 2015: Algeria vs Tanzania

    Mpira ni FT: Algeria 7 Tanzania 0. Wakati wa nasaha wa nini cha kufanya kufika ktk mafanikio.
  13. T

    KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018, Novemba 17 2015: Algeria vs Tanzania

    Wazalendo ... Kinachofanyika ni kupeana update! Dakika 91: Ulimwengu anakosa goli
  14. T

    KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018, Novemba 17 2015: Algeria vs Tanzania

    Athari kubwa kwa Samata na tuzo ya Mchezaji Bora CHAN.
  15. T

    KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018, Novemba 17 2015: Algeria vs Tanzania

    Dakika 77: Haji Mwinyi anapishana na Red Card hapa
Back
Top Bottom