Basi la Kampuni ya SABCO limepata ajali likitoka Arusha kwenda Dar

Basi la Kampuni ya SABCO limepata ajali likitoka Arusha kwenda Dar

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,761
Kuna ajali imetokea asubuhi hii hapa kwa Fundi Tengeru Arusha, basi la SABCO, inatoka Arusha kwenda Dar imeacha njia na kupinduka pembeni ya barabara hakuna vifo lakini kuna majeruhi wanne.

Mungu tuepushie hili dhahama.
 
Kuna ajali imetokea asubuhi hii hapa Kwa Fundi ni karibu na Tengeru gari ya Simba mtoto Nadhani ya dar imeacha njia na kupinduka pambeni ya barabara hakuna vifo lakini majeruhi wapo wengi.
Mungu tuepushie hili dhahama...
Vipi mkuu kuna vifo? Mwisho wa mwaka huu matajiri wengi wana 'invest'. Poleni majeruhi.
 
Ok poleni wahanga,ila heading umeandika likielekea Arusha kwenda Dar. Sahihisha mkuu
 
Poleni saana waathirika.
Hizi sheria za NDIYOOOOO haya ndiyo matokeo yake.Serikali iwe na moyo wa chuma...weka sheria kali funga dereva miaka tano kwa ajali za mwendo kasi.
 
Nimepita hapo asubuhi kwa jinsi lilivyo pinduka unaweza fikiria hakuna aliyepona ,Mungu ni mwema
 
Mungu tusaidie na utuepushie mwisho WA mwaka matukio kama haya Ni mengi.
 
Acha viroba kichwa cha Habari kinasema simba mtoto Habari inatueleza kuwa ni shabco tukuelewe vipi hembu tupe picha
 
Hizi Sabco bado zipo??
Nazikumbuka njia kuu ilikua Dar-Kyela/Tunduma?

Mtoa Mada ni Sabco au Shabco??
 
Back
Top Bottom