Watu waliosomea hisabati!!

Watu waliosomea hisabati!!

Hahaha Hisabati na Speed up ya Maamuzi!!!
Je kuna wataalamu wa Hisabati ya ofauti kati ya Hisabati y

ya Kuandika na Kuongea????

Hahaha Hisabati na Speed up ya Maamuzi!!

Je nanyi mna wataalamu wa Hisabati ya Kuandika na wengine Hisabati ya Kuongea??

Tuanzie hapa;
Andika au tamka kwa Maneno- Elfu Kumi Jumlisha Mbili.
 
...............
 
Attachments

  • 1447991867382.jpg
    1447991867382.jpg
    33.4 KB · Views: 199
Hivi ni kweli kwamba watu waliosoma maths kwa angalau ngazi ya kidato cha 5 na 6 wana uwezo mkubwa wa kufikiri na kuchanganua mambo ukilinganisha na wale waliosoma masomo ya Art kama Kiswahili!?
wengi watakaobishana na ukweli huu jua wanaugua ugonjwa wa inferiority complex!!
 
unajua kuna mambo mengine ni ujinga sana eti
linakuja swali

x + 20=40 halafu wananiambia nitafute x wakati x naiona

huu ujinga ndio maana hesabu ilinishinda
MKUU...umekosea sio tafuta x,ni tafuta thamani ya x...ni halali yako kukimbia hesabu!!!
 
unajua kuna mambo mengine ni ujinga sana eti
linakuja swali

x + 20=40 halafu wananiambia nitafute x wakati x naiona

huu ujinga ndio maana hesabu ilinishinda

dah! asante sana kwa kuifungua siku yangu nimecheka mnooo
 
Ni kweli, mbali na kuchanganua mambo hata unapoongea nao na kuwauliza maswali huwa wanatoa majibu kwa haraka sana bila kujali jibu ni sahihi au sio sahihi.

uko wap uwezo wao mkubwa wa kufikiri kama wanatoa majibu bila hata kufikiri kama ni sahihi au la?
 
Sio Kweli mbona Lipumba hawezi kuchanganua mambo!!!!?
Mkuu kwa taarifa yako somo la Economics limejaa hesabu za nguvu,kama hesabu haipandi kichwani mwako huwezi kufaulu somo/shahada ya ECONOMICS. Hesabu ndio kila kitu Duniani.
 
Mkuu naunga mkono hoja,,,,reference ni mm mwenyewe najiona kabisa navofikir vema na kwa haraka kuliko wale zao la nyambari nyangwine
 
wengi watakaobishana na ukweli huu jua wanaugua ugonjwa wa inferiority complex!!
Ndilo tatizo lao kubwa, na wengi wao waliopewa Uongozi ndio wametuharibia Taifa letu kimadili,akili zao masaa yote zinafikiria ma deal tu na matanuzi!!

Tushukuru Mungu kwa kumuwezesha mwanasayansi mwenzetu kuongoza Taifa letu - nina imani ataleta mabadiriko makubwa sana yenye Tija.
 
unajua kuna mambo mengine ni ujinga sana eti
linakuja swali

x + 20=40 halafu wananiambia nitafute x wakati x naiona

huu ujinga ndio maana hesabu ilinishinda
Yanarudi yale yale! Mkuu hapa hatuzungumzii hesabu za chekechea.
 
unajua kuna mambo mengine ni ujinga sana eti
linakuja swali

x + 20=40 halafu wananiambia nitafute x wakati x naiona

huu ujinga ndio maana hesabu ilinishinda

"Kutafuta x" na "kutafuta thamani ya x" ni vitu viwili tofauti! Kihesabu ni kutafuta "thamani ya x"
 
Hivi ni kweli kwamba watu waliosoma maths kwa angalau ngazi ya kidato cha 5 na 6 wana uwezo mkubwa wa kufikiri na kuchanganua mambo ukilinganisha na wale waliosoma masomo ya Art kama Kiswahili!?

ni kweli mkuu,me nilipata F kidato cha 6 maths
 
Back
Top Bottom