Upiversity
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,487
- 2,634
Lini unaondoka ?? Nikupe lift Nina private car ila naishia kibaha maili moja dar sifiki
hajaomba lift acha hashuo la dagaa mtoto wa kiume utahemewa!
Lini unaondoka ?? Nikupe lift Nina private car ila naishia kibaha maili moja dar sifiki
Kuna kirumo na machame safari hizi ni pamba nyepesi madereva ni machaliii wa chuga na mo town awakubali kupitwa ni mwendo tuuuu...... Dar ex gari ya kifather hiyo....