Recent content by Tel Aviv

  1. Tel Aviv

    JamiiForums Tanzania Kiusalama, Tundu Lissu kumwambia Rais kuwa "ameropoka" ni kosa kubwa sana

    Ofcorse ni mropokaji
  2. Tel Aviv

    JamiiForums Tanzania Kenya: Rais John Magufuli azua minong'ono

    siyo mpaka aonekane kumtuma mwakilishi tuu nyumba ya jirani inatosha mwacheni afanye kazi kwanza.
  3. Tel Aviv

    JamiiForums Tanzania Tanzania yateuliwa kuwa mwenyekiti wa asasi muhimu na nyeti ya Siasa, Ulinzi na Usalama SADC

    Yote kwa yote pia napaswa kupongeza kwa nchi yetu kupokea kijiti cha uongozi. Navyoona hapa mkulu anatakiwa kusimama haswa mambo ya kuwakilishwa sasa kwa hii nafasi anahitaji aihudumu yeye.
  4. Tel Aviv

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    Dah upo mkuu? Umeadimika sana
  5. Tel Aviv

    JamiiForums Tanzania Dunia imefikia mwisho wake!!

    Kumbe source ni NASA teh teh hao ni vilaza
  6. Tel Aviv

    JamiiForums Tanzania Anayenipenda mimi Moniccca awe na sifa hizi:

    Kaniambia nani watu wanaoa walioachika?
  7. Tel Aviv

    JamiiForums Tanzania UDSM: Kutoka tanuru la fikra hadi tanuru la 'sifa'

    Mze tupatupa wew ni moja ya watu naowakubali sana. UDSM Leo kwa wale wenye mwono wa mbali wataelewa kuwa wamefanywa majuha yani team ilijiandaa na iliwachezea kwa kuwatupa huku kisha kule nao hawakuelewa wakageuka mazuzu na kucheka tuu. Ama kweli hii ni kama bua bichi kushangilia, bua kavu...
  8. Tel Aviv

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiwa na hali ngumu ya maisha, unapataje hamu ya mapenzi?

    Mimi mwenyewe ishanitokea sana nikiwa na stress yan hamu ya kwenda huko ukanda wa gaza sina kabisa
  9. Tel Aviv

    JamiiForums Tanzania Lowassa amuumbua Lukuvi, Mbunge wa Monduli asema shamba sio la Lowassa

    Haa hàa pale mtaa wa Lumumba kutabaki vyumba vyenye nguo za kijani wote watasombwa hadi magu teh teh.
  10. Tel Aviv

    JamiiForums Tanzania Pigo la kwanza: Arusha mjini na Hai kurudi CCM!!

    Naona vijana wa lumumba mnaojitahid kuota ndoto za mchana
  11. Tel Aviv

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete ajibu hoja ya JF kuhusu Meli Mpya Ziwa Victoria

    Akili za wana wa mtaa wa lumumba utazijua tuu akili ndogo kaa panzi alimbizavyo upepo mwishowe hupoteza mwelekeo.
  12. Tel Aviv

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Maria Sarungi kwa wana UKAWA

    Mwache hio january tutampumulia kisogoni bila yeye kupenda
  13. Tel Aviv

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    Ngoja niangalie huenda tukaendana mama ke!
Back
Top Bottom