Ndiyo kabla hujatumbua watu unakasemagaMarahaba... kuna neno lingine una ukakasi nalo..?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mimi sitokaa nisahau "I don't have much to speak".Ataongea nini jamani ngosha hajui diplomasia wala ngeli kusoma akiandikiwa hawezi.....alinipigia broken ya mwaka pale Rwanda huwezi amini!! Yaani aibu tupu
Wakenya wajue mpaka sasa hatujapata wakalimani.
Watafute issue nyingine hiyo haina maana.. baadhi ya Marais mbona hawakitukuzi katika hotuba zao za kimataifaUnajidhalilisha ! Hakuna Tatizo la lugha ktk ziara za Magu nje hata Angeweza kutumia hata kiswahili Kama vile ambavyo anaweza kusoma hotuba iliyoandikwa . Labda useme pia hajui kusoma!
Kwani huo mkutano unaendeshwa kwa kutumia lugha gani?Wakenya wajue mpaka sasa hatujapata wakalimani.
Kwani huo mkutano unaendeshwa kwa kutumia lugha gani?
[emoji23] [emoji23]Kumbe tuko wengi.... Daah hata mimi nikitaka kucharaza ngeli najikuta natetemeka tu.
You have not recovered from your madness?
Siamini ... Kweli!!!! "Sina mengi ya kuongea" ...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mimi sitokaa nisahau "I don't have much to speak".