Recent content by Tekenya

  1. T

    JamiiForums Tanzania shortlist PHARMACCESS APPLICATIONS.

    Naombeni kwa wenye taarifa za shortlist nafasi zilizotangazwa Pharmaccess anijuze. pos. program officer laboratory service.
  2. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battery ya Toshiba.

    Naomba mwenye kujua bei ya battery mpya ya toshiba anijuze, maana laptop yangu inaonyesha alama nyekundu kwenye highlight alafu inasema considery replacing your battery.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kazi COSTECH

    Wadau kwa mwenye taarifa kuhusiana na nafasi za kazi zilizotangazwa na tume ya ajira za COSTECH kama washaita watu kwenye usaili, maana mim niliomba research assistant mpaka sasa naona kimya.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Polisi yazuia Operation Sangara ya CHADEMA Morogoro kisa hakuna Askari

    Mbinu za kuwazuia hasa morogoro mjin sio ajabu na mweshimiwa mwenye haya mabus anahusika, maana yupo tayari kumwaga pesa nyingi kulikon kuona upinzan unakua na nguvu. ela alizotumia kwenye kampen hazijarudi bado atahitaji aongoze msimu ujao pia.
  5. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania kujua jina la mtu kwa airtel via number yake

    fanya kama unatuma ela pia, ila mpaka utume kabisa ndo utaiona.
  6. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania consider replacing your battery

    Ndugu wana jamii forum katika safu hii, naomben msaada, laptop yangu aina ya toshiba inaonyesha alama ya x ya rangi nyekundu kwenye screen ya baterry highlight. ma yanatoka maandishi yalio kwenye heading."consider replacing your battery" nifanyeje wapendwa wakati ina uwezo wa kukaa na charg zaid...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mkulo atakiwa kuthibitisha au kufuta kauli yake dhidi ya kamati ya Zitto

    yangu macho.
  8. T

    JamiiForums Tanzania which district you prefert to work?

    which district you prefert to work?Wadau naomba ushauri ni wilaya gani nzuri kati ya Kiteto, Iramba na simanjiro. kuna kazi nimeapply nikaambiwa nichague japo interview bado. naomba wadau mnipe ushauri plz. Last edited by Tekenya; Today at 15:21.
  9. T

    JamiiForums Tanzania which district you prefert to work?

    Wadau naomba ushauri ni wilaya gani nzuri kati ya Kiteto, Iramba na simanjiro. kuna kazi nimeapply nikaambiwa nichague japo interview bado. naomba wadau mnipe ushauri plz.
  10. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Airtel internet, vipi tena?

    Piga *154*44# utaangalia salio bila wasiwas. piga halafu fuata maelekezo.
  11. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wapi kuna fundi mwaminifu wa digital Camera kwa Dar?

    nadhani tatizo ni zoomu, hata mim lishanitokea, ipo very delicate, ukibahatika kupata fundi akairepea ni bahati, ila hapo inabidi ununue nyingine (zoom) ambapo sio chini ya 50-60,000/= mtaa wa uhuru kariakoo nyuma ya maduka ya simu wapo mafundi wa kamera.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Research project in English subject in Tanzanian schools

    shahada mkubwa, sifanyi kwa TZ yote nitakua na case study ni part tu ya TZ.naomba basi mchango wako
  13. T

    JamiiForums Tanzania Research project in English subject in Tanzanian schools

    Wadau wa Elimu nataka fanya research ktk somo la english kwa tz, naombeni mada ambayo ni researchable ikiwa ni sehemu ya kumalizia masomo yangu ya chuo. natanguliza shukrani za dhat kwa watakaonishauri na kunipa mawazo mazuri.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Diamites International.

    Aksanten kwa taarifa.
  15. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Laptop yangu haitoi sauti Toshiba

    headphone zinafanya kazi freshi. tatizo ni speaka hazitoi sauti
Back
Top Bottom