kujua jina la mtu kwa airtel via number yake

Hercule Poirot

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
1,717
1,472
wadau kuna anaefahamu jinsi ya kujua jina la mtu kwa kutumia namba yake ya airtel kama kasajiliwa? Ktk tigo inawezekana ukifanya kama unamtumia hela via tigo pesa....vp kwa airtel hii kitu ipo au....?
 
Back
Top Bottom