Recent content by TEK

  1. TEK

    ONYO kwa wanaonunua simu humu

    Infinix smart 5 Inauzwa iko vizuri kabisa nipo Mbeya 0863797853
  2. TEK

    ONYO kwa wanaonunua simu humu

    Infinix smart 5 Bei ni maelewano
  3. TEK

    Kilimo cha bustani njia rahisi ya kutatua ukata wa fedha katika familia

    Habari zenu ndugu zangu, katika kutafakari nini cha kufanya nimejikuta napata wazo hili ambalo kimsingi kwa mtu ambaye atazingatia itamsaidia. Hii ninazungumza kutokana na uzoefu nilionao katika maisha yangu. Mwaka 2016 ni mwaka ambao kwangu ulikuwa ni mgumu sana lakini kutokana na kilimo cha...
  4. TEK

    Tusipotoka katika maigizo ya siasa hatutafika tunakokwenda

    Habari ndigu zangu! Mimi kila siku natamani sana kuona nchi yangu ikipiga hatua na kufika sehemu ambayo itakuwa ni suluhusho la maisha magumu tuliyonayo kisiasa, kihistoria na kiuchumi. Nchi hii inapitia vipindi vigumu sana hasa katika nyanja za siasa. Siasa za nchi hii zinapitia maigizo mengi...
  5. TEK

    Naomba yeyote anayejua kuhusu Maboga lishe

    Naomba yeyote anayejua kuhusu Maboga lishe, kuhusu bei ya mbegu, mahali zinapatikana hizi mbegu na masoko anijuze tafadhali. Nipo Mbeya
  6. TEK

    Nawakaribisha kwenye kampuni ya NEO Life

    kwa nini?
  7. TEK

    Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    sijajua kwann watu wengi huogopa sana networking marketing
  8. TEK

    Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Ndiyo, unaifanya muda wa ziada at least 2 hrs kwa siku inatosha kabisa kuifanya hii kazi
  9. TEK

    MADAI H/WILAYA YA MBARALI

    Naamini hapa ndo tunaweza kufikisha ujumbe uliokusudiwa kwa watu tulio wakusudia. Kunakitu nakihisi kama siyokweli basi naomba MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI athibitishe kwa kutulipa madai yetu. Mimi ni miongoni mwa waajiriwa wa 2013 kitengo cha ELIMU hadi keo hatujalipwa...
  10. TEK

    Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Kulingana na hali halisi ya sasa mimi ninakushauri ujiunge na kampuni inayofanya biashara ya kusambaza bidhaa za afya na usafi pia kilimo. Laki 5 zinatosha kuanzisha biashara inayoweza kukupa faida ya laki 3 hivi kwa mwezi. So mimi nakushauri njoo tufanye wote pamoja, ni rahisi kikubwa uwe na...
  11. TEK

    Nawakaribisha kwenye kampuni ya NEO Life

    Nimeona niwakaribishe kwenye hii kampuni ya aina yake inayofanya biashara ya mtandao. Mtanzania wa kawaida kabisa unakaribiahwa kwenye hii fursa. Waliowengi watakupa negatives kuhusu hii biashara lakini naamini maisha hayana njia moja ya kumtoa mtu kimaso maso. Wewe unataka kuijua hii fursa...
  12. TEK

    Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

    Lisilo wezekana kwa mtazamo wa kibinadamu linawezekana kwa yeye. Amefanya miaka 100 kuwa mziki kuifikia vivyo hivyo alifanya miaka mia 9 iwezekane kipindi hicho. MUNGU ATABAKI KUWA MUNGU HATA KAMA UNADHANI NI UONGO!!!
  13. TEK

    Mahindi ya gobo

    Inapatikana mikoani? Niko Mbeya mkuu
  14. TEK

    Bidhaa za afya na usafi

    Ninasambaza bidhaa za afya na udafi zenye sifa zifuatazo:- CARE:- Hii ni bidhaa maalum kwaajili ya mambo yafuatayo:- - Inatibu kuku magonjwa mengi hasa KIDELI - Inatibu fangasi sehemu za siri na miguuni - Hutoa gesi tumboni - Huondoa sumu mbalimbali kwenye mboga na nyama - Inatibu ng'ombe...
Back
Top Bottom