Recent content by Tehamaleo

  1. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Na mimi nimpate mtoto mzuri humu kama wenzangu

    Madem mna kazi,kama huyu nae anataka demu,kazi ipo!
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kero: George Marato wa ITV

    Kabendela shinani
  3. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yaani from nowhere anatuma hii picha na kuuliza "Unaiweza Hii Style?"

    Hongera ma mshuza umetetea hali ya mwanamke itabidi nikutatute niwe karibu yako.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya IMF: Tanzania haimo katika nchi 10 za Afrika chini ya Jangwa la Sahara zenye uchumi unaokua kwa kasi zaidi

    Unaongea ukiwa unalenga wa nchi ipi maana kama unalenga Tz una wrong Tz haipimwi na Rwanda hata siku moja hats kama TZ haijafikia %age hizo za ukuaji,Tz iko daraja jingine LA juu kuliko lililomo Rwanda,nyie m compete na Burundi na nchi zinazofanana na hizo(mnajifahamu) kwanza wa Tz hatuna...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marais huongezewa muda?

    Kutofanya liwalo lolote tukamwongezea mda wa kutawala kwa kuangalia eti katiba mara mini tukashindwa kuangalia makubwa aliyoyafanya na kuhitaji akaendelea na menhine zaidi kwa kuongezewa mda mwingine ni upumbavu.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Maambukizi ya Ukimwi

    Kwa wabobezi nilihitaji kujua kwa undani juu ya masuala yahusuyo ugonjwa wa Ukimwi kama ifuatavyo,umuchukua mda gani mwathirika wa HIv kuanza kuambukiza mtu mwingine toka mwathirika alipoambukizwa? He ikitokea wakati wa tendo LA ndoa ukadondokewa na maji ya ukeni(mengi) kwenye uume baada ya...
  7. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekamilisha upekuzi wa siku 30 kwenye simu ya mke wangu

    Mweleze pia ulivomfanyia(huo udukuzi)
  8. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni mniombee sana

    Wengine tutakuwa tukiwatoa humu kwa upumbavu mlokuwa nao! Hayo ni ya kutuambia siye? Si ni suala la kuwakusanya ndugu zako na kuwaeleza hayo na ukasikia wanachokwambia.
  9. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uganda kuidhinisha Kiswahili kama lugha ya pili baada ya Kingereza - Wakenya fursa hizooo

    Nina vijana wangu wanasoma Kampala shule Fulani,hapo pana mwalimu wa kiswahili kutoka Kenya,kama pana shida kubwa ya kiswahili ni hapo shuleni maana kiswahili kinachozungumzwa na kufundishwa na Huyo mwalimu ni majanga matupu hadi inatia huruma kwa wanafunzi hao wanaopenda kujua kiswahili kisha...
  10. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba usahuri wenu juu ya hisia zangu za kimwili kwenye tendo la ndoa

    Nawe watakuita mkuu!
  11. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpaka Nimeona aibu Mwanaume mimi...Ila amenifunzaa

    Mbona neno mkuu linatumika ovyo hovyo utasikia mkuu mkuu hats kwa wapumbavu tu!
  12. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania NIMEACHWA LEO TAREHE 7/9/2019

    Ukome?!
  13. T

    JamiiForums Tanzania Upigaji Punyeto: Zijue hasara/ madhara pamoja na njia sahihi za kuacha tabia hii

    Kata hiyo kitu shida imekwishakuwa kubwa mno!
  14. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukimfanyia jambo hili mkeo, mpaka siku ya kifo chake hatahisi kuwa unachepuka.

    Pambafu!
Back
Top Bottom