Kwanini Marais huongezewa muda?

Kwanini Marais huongezewa muda?

Sbb kubwa wazalendo wanataka Mh. JPM aongezewe muda si kingine bali ni speed kubwa ya maendeleo ya wazi kabisa, yaani maendeleo huhitaji kuelezewa, unaona kwa macho yako kwa muda mfupi sana, pia kawafuta kabisa majambazi, wezi, wala rushwa, mafisadi, watumishi hewa na wenye vyeti feki, uzembe na uvivu serikalini, wazungu wezi wa rasilimali za nchi yetu wamekubali kulipa share deal kwa serikali kwa kila sekta iwe madini, simu, utalii, etc..

Ni mengi mengii mengiiii makuu Mh. JPM kayafanya kwa speed ya ajabu, wakati mwingine nashangaa haya yanawezekana vipi? Kama siamini, ila naona kwa macho yangu, najisemea Eeh Mungu, huyu Rais wa sasa kwanini asikae walau hata miaka yote hadi akatae au apewe na wananchi hata miaka 20 tu dunia nzima itashangaa kwa hatua kubwa tutakayo piga ya maendeleo, China mwaka huu imempa Xi aongozee China bila kuwa na kikomo, yote sbb ya maendeleo ya haraka sana hadi US wanawaheshimu na wanaogopa sana China.. Sisi watanzania ni uamuzi wetu sasa tuamue, Katiba ni yetu, katiba sio Biblia au Quran, tunaweza kuamua sisi wananchi..

Itachukua miaka mingi sana mbele kuja kumpata Rais aina ya John Magufuli, ni ngumu sana.. Mungu tupe macho tuone, wengine wanaangalia demokrasia, sisi tunaangalia maendeleo..
Upeo mdogo sana huu!
 
Raisi anayepaswa kukumbukwa sana ni mzee Mwinyi..nyie watoto wa juzi hamjui kitu..aliachiwa linchi masikini halina fedha..mzee wa watu kapigana sana..leo hii mtu aliyekuta nchi iko vizuri ndio apewe sifa..acheni unafiki
 
Wachina Walifanya na wanafanya (Mao na Huyu wa sasa)

Wamarekani walifanya (Rooservert)

Chadema wanafanya (mwenyekiti wao mjenga chama hawajambadilisha mwaka wa ngapi sijui sasa)


Sis ni nani?
We zwazwa yule pimbi wenu leplofeselipumbu mbona mlimrudisha awe mwenyekiti.. humuoni unamuona Mbowe tu anaekuwasha makalio yako.. shuvbamitt shwain ww
 
Acheni ujinga nani anamawazo, malengo na naona kama Nyerere?

Huyu asieweza hata kujieleza kwa kiswahili?
Huyu anayeoendelelea kwao hadi amehamishia mbuga ya wanyama na kujenga uwanja Wa Ndege Wa kimataifa kwao? Nyerere alikuwa hivi?

Huyu anaegopa watu kuhoji? Anaishia kuwavurumishia mvua ya risasi!

Ukweli ni huu nchi hii haijawahi kuwa na kiongozi mbovu na muovu kama huyu! Tuondoleeni mashudu yenu hapa!!
Leo nimejaribu kusikiliza tuhutuba twake jukwaani huko Songwe hakika mpaka nimeona aibu mimi.
Nimejiuliza hivi hao wanaosema aongezewe muda wamepatwa na nini? Wamelishwa limbwata au ni wagonjwa wa akili?
Kiongozi ambaye hawezi kujieleza kwa mambo ya maana dakika kumi nzima bila kuingiza mambo ya ngono, mfumo dume au chuki za wazi?
Unashindwa kutofautisha kati yake na watu kama Lusinde au Msukuma!
Hivi ni nini kimelipata hilitaifa hadi mikutano ya ajabu namna hiyo wanashangilia wao na walio jukwaani?
Gone too low as a country!
 
nchi iko macho, katiba italindwa kwa nguvu zote, kama kuna rais alistahili kuongezewa muda basi ni Mkapa lakini hakuthubutu, endeleeni kumdanganya mzee wa watu.
 
Kutofanya liwalo lolote tukamwongezea mda wa kutawala kwa kuangalia eti katiba mara mini tukashindwa kuangalia makubwa aliyoyafanya na kuhitaji akaendelea na menhine zaidi kwa kuongezewa mda mwingine ni upumbavu.
 
Msimdanganye Mzee wa watu nyie waswahili hamna jema mwacheni amalize kipindi chake salama akapumzike na wajukuu zake Chato wakifuraishwa na tausi
 
Aliyekwambia miaka kumi NI Haki ya kizaliwa ni nani.? Hii mifumo imewekwa na watu na inaweza kubadilishwa wakati wowote watu hao hao wakiamua. Fullstop

Sawa tutabadilisha ila Magu akae pembeni kwanza.
 
Leo nimejaribu kusikiliza tuhutuba twake jukwaani huko Songwe hakika mpaka nimeona aibu mimi.
Nimejiuliza hivi hao wanaosema aongezewe muda wamepatwa na nini? Wamelishwa limbwata au ni wagonjwa wa akili?
Kiongozi ambaye hawezi kujieleza kwa mambo ya maana dakika kumi nzima bila kuingiza mambo ya ngono, mfumo dume au chuki za wazi?
Unashindwa kutofautisha kati yake na watu kama Lusinde au Msukuma!
Hivi ni nini kimelipata hilitaifa hadi mikutano ya ajabu namna hiyo wanashangilia wao na walio jukwaani?
Gone too low as a country!
Macho yetu kwenye utendaji sio uwezo wa kutoa hotuba. Wazuri wa kutoa hotuba ndio wabovu kiutendaji
 
Kumeibuka kundi kubwa la wazalendo wa nchi hii kutaka ukomo wa madaraka uondolewe kwenye katiba yetu ili kuruhusu Magufuli aongoze kwa awamu tatu au nne zaidi.

Hili sio jambo geni duniani. Hata Marekani wamewahi kufanya hivi mwaka 1940 Roosevelt alipochaguliwa kuongoza kwa awamu ya tatu na 1944 aliporuhusiwa kugombea kwa awamu ya nne bahati mbaya akafariki. Baada yake mfumo huo uliondolewa.

Sababu za kuongezewa muda ni zilezile tunazoziongelea Tanzania, Magufuli ni mfano wa viongozi aina ya Mao wa China, Nyerere wa Tanzania na Roosevelt wa Marekani. Hawa ni wajenga nchi.

Viongozi aina hii huchukua Muda kupatikana, ndio maana baada ya Mao wa China kiongozi mwingine wa aina yake ni huyu kapatikana kizazi chetu hichi na tunaona wachina wamemuondolea kabisa ukomo wa uongozi.

Tanzania baada ya Nyerere wamepita viongozi watatu hadi kuja kumpata mwingine mwenye mawazo, malengo na itakadi kama ya Nyerere, kwanini tusimuongezee muda ilihali Nyerere aliongoza kwa awamu zaidi ya nne kama tukihesabu miaka mitano mitano.

Mfumo wa uchaguzi ubaki kama ulivyo kila baada ya miaka mitano na pale Magufuli atakapochoka au kufariki katiba ibadilishwe kurudi kwenye mfumo tuliozoea hadi pale atakapopatikana mjenga nchi mwingine.

Shauri lililopo mahakamani lililofunguliwa na Mkulima ni shauri la kizalendo na lenye maana kubwa kuliko hoja za wanaompinga.

Wakati hoja kuu ya wapinzani ni Rais kubadilika pale anapogundua kaondolewa ukomo suala la uchaguzi kila baada ya miaka mitano nadhani linaweza imaliza hoja yao kabisa. Kama hawana imani na tume ya uchaguzi hio ni issue tofauti sana na kilio chetu wazalendo cha Magufuli kuondolewa term limit kwa faida ya nchi hii.

Ombi kwa wazalendo wengine wengi huu ni muda wa kuungana na Mkulima kimawazo, ushauri na kumuwezesha pale anapikwama ili asije akashindwa kwa vitu vidogo ambavyo tungeweza kuchangia.

Cwu.
Rubbish.Bichwa tope
 
Back
Top Bottom