Maambukizi ya Ukimwi

Tehamaleo

Member
Aug 14, 2019
33
23
Kwa wabobezi nilihitaji kujua kwa undani juu ya masuala yahusuyo ugonjwa wa Ukimwi kama ifuatavyo,umuchukua mda gani mwathirika wa HIv kuanza kuambukiza mtu mwingine toka mwathirika alipoambukizwa? He ikitokea wakati wa tendo LA ndoa ukadondokewa na maji ya ukeni(mengi) kwenye uume baada ya tendo LA ndoa kuna uwezrkano kupata maambukizo? Ingawa wakati wa sex kondom zilitumika? Je virus vikikuingia ni lazima upate HIV au wakati mwingine uuliwa na antibodies? Inakuwaje mwanandoa mmoja me/ke kutopata maambukizo wakati mwenzie anayo na wamekuwa wakishiriki tendo LA ndoa hats kwa miaka mi 5 hivi,Nina imani humu pana ma specialist watasaidia na hats cases nyingine ambazo hazijaulizwa za kuhusiana na tatizo LA HIV.
 
Mbona simple, nenda hospital utauliza maswali yako na ikiwezekana utapimwa.
 
Back
Top Bottom