Recent content by Teganza

  1. T

    JamiiForums Tanzania Urais wa Maisha: Baraza la Maaskofu na Kadinali Pengo wapo?

    J Saivi askofu wa Jimbo la Dar es Salaam sio Pengo
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi anayetuhumiwa kuchoma korani huko Morogoro anahitaji msaada wa kisheria

    Chief ulisoma kifungu cha 125 mpaka 129 cha kanuni ya adhabu sura ya 16 utakuwa na cha kujifunza.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Hii kauli ya Kamishna wa TRA kwa biashara zilizofungwa ni kufanya 'damage control'

    Pale bandarini Kuna shida Kuna kontena letu tunahangaika nalo wiki ya 3 hii ushuru umekuwa mkubwa bila sababu ya kueleweka
  4. T

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mbunge wa CCM, Deo Sanga ataka Dkt. John Magufuli awe Rais wa maisha

    Muda mwingine jaribuni kujua hata CV yake ipoje
  5. T

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Mungu tunakushukuru, Arusha asanteni sana

    Nimeiona hii, hadi Rc ikabidi atulie kwanza kabla ya kuendelea
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mtatiro apitishwa kugombea Ubunge Segerea

    Safiiiiiiii UKAWA lazma tuibuke kidedea.Mtatiro ni kijana makini
  7. T

    JamiiForums Tanzania Rais Nkurunzinza yupo Dar es salaam

    Kuna msafara nmeuona mda s mrefu kuelekea usawa was Airport sasa sjui in yeye ndo anageuka?
  8. T

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalimu anaandaliwa kuwa Mwenyekiti Mpya wa CHADEMA Taifa

    Kasoma School of Journalism and Mass Communication ya UDSM unabisha kamulize prof Mukandala
  9. T

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Safiiiiii
  10. T

    JamiiForums Tanzania Je, unamfahamuje prof. Rwekaza Mukandala wa UDSM?

    Nimeipenda hoja namba saba kwa kweli
  11. T

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Njombe Kusini waikataa ccm

    acha ujinga wana Njombe hatujawa ombaomba kihivyo
  12. T

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Njombe Kusini waikataa ccm

    Ndugu yangu nina wasiwasi na part ya mwili unachotumia kufikiria ,, kwa taarifa yako Njombe ni moja ya mikoa ambayo watu wake wana maisha mazuri kutokana na kwamba kuna uhakika wa chakula, watu wajitahidi kuwa na nyumba bora tofauti na mikoa mingine ,,Ukiwa Njombe huwezi ona vijumba vya nyasi...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Ni zamu sasa kwa kanda ya nyanda za juu, magharibi au kati kutoa rais wa tz 2015...

    Kanda ya Nyanda za juu kusini ni mtaji mkubwa kwa CCM, hivyo kwa kuiokoa CCM na kwa kubalance raisi ajae atoke nyanda za juu kusini
  14. T

    JamiiForums Tanzania Wadau Idadi ya aliowaua Clement Mabina ni 4

    kumbe unajua haihusiani na siasa, ila unatambua hicho kilichosema na ulomjibu?
Back
Top Bottom