Mtatiro apitishwa kugombea Ubunge Segerea

Mtatiro apitishwa kugombea Ubunge Segerea

Vip kuhusu mpendazoe wa CHADEMA make ndo alishika nafasi ya pili 2010?
 
watu kama nyinyi hamtakiwi UKAWA, tatizo la chama linatoka wapi?
We magamba nini???

Unatakiwa ujue kuwa si kila vichwa unavyoviona vikubwa basi ndani yake kuna ubongo...vingine vimejaa makamasi....
 
namkubali sana Mtatiro, nakumbuka harakati zake za kisiasa alipokua PM pale Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam.
Hata mimi namkubali sana huyu mjamaa, nakumbuka siku moja ARU & UDSM, kwa pamoja tulienda bodi ya mikopo, tulikinukisha pale, kamanda Mtatiro akiongoza jahazi kama Waziri Mkuu wa UDSM, wakati ARU kulikuwa na jamaa mmoja anaitwa MASSAWE, dah hawa jamaa walikuwa kweli ni viongozi, wakapachimba pale pale mpaka siku hiyo hiyo jioni tukapata hela zetu.
Kwa hiyo sina wasiwasi na Mtatiro.
 
Mpendazoe yuko kwao Kishapu kumng'oa Seleman Nchambi mwarabu koko.

Yatosha kusema,"kumng'oa Seleman Nchambi", mambo ya mwarabu koko hayana tija, ni ukaburu kuingiza rangi ya mtu kama kigezo cha kumng'oa.
 
Back
Top Bottom