Je, unamfahamuje prof. Rwekaza Mukandala wa UDSM?

Na ndiye aliyemwambia Ki.kwete kwamba Prof. Mwakusya amemuona Dr. Balali marekani na kwamba siri imeshajulikana. Ndo ikawa mwanzo wa umauti wa Prof Mwakusya

Ni Prof. Mwaikusa.....
Munaogopa kumpa kesi kagame, aliyekuwa mkuu wa majeshi Rwanda alipopigwa risasi south Afrika, S.A iliweka wazi kuwa Kagame's hit men ndiyo wamefanya ile attempt lakini ingekuwa bongo jibu lingeendelea kuwa ni majambazi..
 
alikuwa aachie ngazi uVC mwaka huu baada ya awamu yake ya kwanza kuisha ila inasemekana ameongezewa awamu ya pili sasa sijui ile sera ya huu wakati wa mwanamke yeye imemkosa vp??

Si alimsaidia jk vyema kupika data kwamba atashinda urais last year kwa kutumia sonovet
 
Kweli Vc wetu amekuwa mbali sana na wanachuo toka niingie first year ndo juzijuzi kaongea na wanachuo kule yombo 4 napo habari ziliwapata wachache siyo wote waliohudhuria kikao hicho.
 
Watu ni waongo sana dunia hii nimegundua. Ninauhakika wa asilimia 100 kuwa Mukandala hajawahi kugusa liliani ha hajawahi mtongoza. pili rozi pascal ninamfahamu sanana is my very friend sasa sijui hata mimi naweza kuwa na natembea naye?

Kuhusu kusafiri na ukabila nitalifanyia kazi kwanza no utafiti no haki ya kuongea.

Kuhusu kutoa uprofesa kwa mtu sjui anayeto na VC au ni senate au council au ni promotion committe naomba ufuatilie maana vyombo husika vinatoa promotion kulingana na ulivyofanya kazi zako za kufundisha, kutafiti na kutoa ushauri wa kitaaluma tena vinatolewa kwa point.

Kuwa dean/principal/director lazima search committee ifanye kazi ya ziada na kuhusu dean wa SJMC muulize Prof. Kabudi atakupa data kamili maan nilishauliza kuhusu mtu kuwa kiongozi pahali hujapasomea. Hivi kiongozi lazima awe amesomea kila kitu anachosimamia? Nina tafiti kama tatu nimezisoma alizoandika Kilian kuhusu democracy and the media, media popularity and freedom of expression. je aliyemtangulia Mwalimu Prof. Possi alikua na background ya media? je hana background hiyo kuna maendeleo yoyote ameyafanya au chuo kipo palpale kilipoachwa?
 
kajaza watoto wake na wandugu zake Hal 4 ni usalama na ndugu zake wote hata fst year anawapa magar
 
3. Ni mtu mzuri sana ktk utendaji wake
Yote hasi uliyoyasema kuhusu Mukandara hayaendani na sifa ya "Ni mtu mzuri sana ktk utendaji wake."

Mukandara kwangu ni afisa utawala mbovu kupindukia kwa sababu chuo chake kinasomesha na kuhitimisha wasomi wabovu kupindukia kama wewe ambao hawawezi hata kuandika kitu cha nusu kurasa kikawa coherent.
 
E bwana wanajamii ebu nendeni mkalione lile jumba lake la makongo juu ni balaaa ikulu cha mtoto hadi bendera ya taifa ipo ndani ya hekaru lake huyu jamaaa ni fisadi kifaru au fisadi tembo.
Kuna rafiki yangu anayeishi America tangu 1999,alipoiona aliifananisha kabisa na nyumba za Beverly Hills..
 
Ni mjuaji na mbishi haambiliki yaani ubishi mwanzo mwisho..

Hakuwahi ku-qualify kuwa Pro ila alidesa! Chuo kimeyumba sana, hakuna stimulation package tena kila idara ina amua inavyoona ni sawa!
 
Kafanya juu chini kuhakikisha Muhaya mwenzie MTEMBEI ALADIN anakuwa Mkuu wa Idara ya kiswahili now TATAKI
 
Watu ni waongo sana dunia hii nimegundua. Ninauhakika wa asilimia 100 kuwa Mukandala hajawahi kugusa liliani ha hajawahi mtongoza. pili rozi pascal ninamfahamu sanana is my very friend sasa sijui hata mimi naweza kuwa na natembea naye?

Kuhusu kusafiri na ukabila nitalifanyia kazi kwanza no utafiti no haki ya kuongea.

Kuhusu kutoa uprofesa kwa mtu sjui anayeto na VC au ni senate au council au ni promotion committe naomba ufuatilie maana vyombo husika vinatoa promotion kulingana na ulivyofanya kazi zako za kufundisha, kutafiti na kutoa ushauri wa kitaaluma tena vinatolewa kwa point.

Kuwa dean/principal/director lazima search committee ifanye kazi ya ziada na kuhusu dean wa SJMC muulize Prof. Kabudi atakupa data kamili maan nilishauliza kuhusu mtu kuwa kiongozi pahali hujapasomea. Hivi kiongozi lazima awe amesomea kila kitu anachosimamia? Nina tafiti kama tatu nimezisoma alizoandika Kilian kuhusu democracy and the media, media popularity and freedom of expression. je aliyemtangulia Mwalimu Prof. Possi alikua na background ya media? je hana background hiyo kuna maendeleo yoyote ameyafanya au chuo kipo palpale kilipoachwa?
Jamani naona JF sasa unakuwa ukumbi wa Trash Thinkers badala ya GT. Najua humu kuna wachangiaji wengi ambao ni wanafunzi wa vyuo vikuu lakini inaonekana hata Prospectus za vyuo vyao hawajawahi kuzisoma au hawakuzielewa. VC au ofisa mwingine wa Chuo hawezi kumpa upendeleo mtu yeyote ambaye hana vigezo kama GPA, etc. Chuo kikuu siyo kampuni ya mhindi kwamba unapewa cheo kutokana na utashi wa mtu mmoja. Kuna vigezo vya kitaaluma ambavyo lazima mtu havikidhi. Ndiyo maana kijana mwenye Ph.D. na experience ya miaka mitano anaweza kuupata uprofesa kabla ya mtu aliyeanza kufundisha miaka 10 kabla. Kinachoangaliwa ni vigezo kama publications, research, n.k. Na kuhusu ukabila mbona huonekana kwa Wahaya na si kwa Wachagga, kwa mfano. Kuna ofisi ngapi ambazo karibu wafanyakazi wote ni Wachagga? Kwanza Wahaya wamebakia wachache katika ajira za umma. Waliishakuwa "ethnically cleanesed" siku nyingi. You are living on a myth.
 
Ni VC baada ya Luhanga kustaafu, na pia si mtendaji ni mwanasiasa zaidi, ndo maana hata maamuzi mengi anayoyatoa yakuwa ni ya kisiasa zaidi, kupenda madem hiyo ni asili ya atokako.
 
kajaza watoto wake na wandugu zake Hal 4 ni usalama na ndugu zake wote hata fst year anawapa magar
Kama wewe, wa Chuo Kikuu eti!!!!!! Hata kujieleza hujui. Sasa hata hizo kazi zikipatikana ukanyimwa utalalamika? Kama hao ndugu au yeyote amependelewa si upeleke malalamiko yako panapohusika ukiwa na ushahidi unaojitosheleza? Acheni kutuboa na mawazo ya kitoto.
 
1) anamijumba ambayo ahiendani na kipato chake. kwa demu lazima ALAMBE ndio afanye field za REDET AU TEMCO,
2)PESA ZA REDET ALIFANYA KAMA ACCOUNT YA FAMILIA
3)NI MKABILA KULIKO HATA UDINI WA JAH CIRE, ANGALIA AJIRA ZINAZOFANYIKA KWA SASA AU PROMOTION
4)NI MSHAURI WA KARIBU WA MKULU KWA MASUALA YA KISIASA. HATA HUU UPEPO MCHAFU UNAVYHARIBIKA YEYE NDIO SOURCE
5)AMESHUSHA HADHI YA CHUO KUTOKA TANURU LA FIKRA MBADALA HADI KUWA WANASIASA,
KILA PROF SASA ANA NDOTO ZA SIASA, MAANA KAZI HAILIPI
6)AMESHUSHA HADHI YA CHUO KUTOKA KUWA CHUO BORA AFRIKA MASHRIKI NA KATI HADI KUWA CHUO KINACHOZALISHA MBUMBUMBU WA KUDESA
7)ANA KAWAIDA KUKAA KITI CHA MBELE MISA YA KWANZA PALE KANISA LA CHUO KIKUU
8)HANA HISTORIA YA KUKAA NA WANAFUNZI WAKE KWA MIJADALA NA KUSIKILIZA HOJA ZAO NA KUPANGUA MOJA BAADA YA NYINGINE KAM ALIVYOKUWA PROF WA UKWELI LUHANGA
9)AMESHUSHA HADHI YA USOMI NA FIKRA HURU KWA KUONESHA KUWA PROF ANAYEOGOPA HOJA ZA MSINGI NA KUKIMBIA BUNDUKI NA MITUTU
10)HANA REKODI YA MAFANIKIO KIUNGOZI, ILA ANA REKODI YA MAFANIKIO YA KUDESA CLASS

Nimeipenda hoja namba saba kwa kweli
 
Back
Top Bottom