Recent content by Tee Cup

  1. T

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu, Tume ya Vyuo Vikuu na Bodi ya Mikopo mnayajua haya?

    JE WIZARA YA ELIMU, TUME YA VYUO VIKUU NA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU JE MUNAJUA KWAMBA UNIVERSITY OF BAGAMOYO NI CHUO KIKUU CHA HOVYO KABISA? Chuo hiki hakina hadhi na sifa ya kuwa na wala kuitwa chuo kikuu. Huu ni uuaji na ushushaji wa elimu ya Tanzania. »Chuo kikuu gani hakina majengo...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Idadi ya watu ni mali, Rais ajaye atuambie namna ya kutumia wingi wetu kuinua uchumi

    Kura yangu nitampa atakae toa mpango madhubuti juu ya hii hoja ya wingi na idadi ya watu kuweza kuinua uchumi kwa uzalishaji mali
  3. T

    JamiiForums Tanzania Idadi ya watu ni mali, Rais ajaye atuambie namna ya kutumia wingi wetu kuinua uchumi

    Kura yangu nitampa atakae toa mpango madhubuti juu ya hii hoja ya wingi na idadi ya watu kuweza kuinua uchumi kwa uzalishaji mali
  4. T

    JamiiForums Tanzania Laptop- ASUS i5, 500GB HDD, 8 GB RAM - For Tsh 550,000 only

    my offer 450k
  5. T

    JamiiForums Tanzania wasiwasi wa uchaguzi ujao kughubikwa na majanga.

    Wamekosa hoja za msingi cdm
  6. T

    JamiiForums Tanzania Ndugu Mtanzania: Je unajua hili?

    Sasa nimejua
  7. T

    JamiiForums Tanzania Dk. Robert Ntakamulenga wa NEMC afariki dunia

    Apumzike kwa amani
  8. T

    JamiiForums Tanzania Miaka sitini na tatu unaoa ili iweje?

    Bora aoe apate mwenza wa kumliwaza ili kutokuendelea kumkumbuka mkewe alie tangulia mbele za haki
  9. T

    JamiiForums Tanzania Tanzania paid $76 million to 'ghost workers' over the course of a year

    Kweli hili suala livaliw njuga na wahusika wawajibishwe
  10. T

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie wasichana/wanawake mpoje?

    Huo ndo ukweli mkuu Hawa ni kuwadanganya tu ili tuwahondomole Maana kwao uongo ni ukweli na ukweli ni uongo
  11. T

    JamiiForums Tanzania Athari za kulazimisha mahusiano

    kweli kabisa mapenzi hayalazimishwi
  12. T

    JamiiForums Tanzania Babu hajaacha makuzi tu (funny)

    Hahahahahaha
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mzee mmoja aeleza jinsi atakavyo mpa Pesa kijana aliyemtia mimba mwanae wa kike joke.

    Itakuwa mzee ni. M.c.hagga
Back
Top Bottom