G3T
JF-Expert Member
- May 21, 2013
- 816
- 400
Kumbe mashairi yote hayo kwa ajili yakugegeda na si kuoa!!! utawapata hao hao
yani mikelele yote hiyo kumbe anataka mpwapwapwa,naona hadi mishipa ya midole imemtoka.hahahhahahhah.
Kumbe mashairi yote hayo kwa ajili yakugegeda na si kuoa!!! utawapata hao hao
Usipowadanganya hawa viumbe utaishia kula kwa macho
shikamoo dada, hiyo avatar yako............
Inahitajika "operation tokomeza wavulana"
tokomeza wavulana kasoro Capt Nemo
nawe utakuwa umetumwa na Farao
kama nawe ni mvulana utatokomezwa tu eeeh make hakuna namna ( in pinda's voice)
Nyie mabinti bila kudanganywa siku zote hamwezi kumkubalia mtu,nina ushahid wa mabinti kumi na mbili ambao wote nilivyowadanya mimi ni afisa flani mahala,eti wakanipatia kibwengo chao,yena walikuwa wasomi na wenye heshima zao,sasa nawashangaa vi sistar duuh vya hapa eti vinabisha bila sababu,kama wewe unabisha hebu jiulize Uchi wako ushaliwa na wanaume wangapi na kwa bahati mbaya hata mmoja hakutoa mahali wala kukuchumbia,,,
Wasichana / wanawake mpoje? Mkitongozwa kwa kuambiwa ukweli mnatukataa lakini mkitongozwa kwa kudanganywa ndiyo mnatukubali! Na sasa tutawadanganyeni hadi mkome kudadadeki zenu.
Kwa mfano mwanamke ukimwambia kuwa mimi naitwa Gentamycine, maisha yangu ni ya kawaida tu leo ninazo kesho sina ila napambana tu kimaisha katika kutafuta mtonyo hivyo kama utaona nakufaa ni heri karibu tuanzishe malividavi.Hapa ukimpata huyo msichana katambike kijijini kwenu Kyaka Nkunde.
Lakini ukimwambia mwanamke kuwa unajua dada mimi Gentamycine nimekupenda kupita maelezo na sina tatizo kuishi nawe ukizingatia kuwa nina mali za kutosha kuanzia zile meli zote unazoziona kule baharini hazitii nanga Bandarini hadi ruhusa yangu.
Halafu na yule tajiri Dangote nina ubia nae na kama hiyo haitoshi pikipiki na bajaji zote hapa Dar ni mali zangu.Hapa Ukimkosa huyo demu basi wewe una nuksi au gundu la kiasili, ila kwa sumu za aina hiyo utahondomola wasichana wa kibongo hadi uchoke / ushindwe mwenyewe.
Dada zetu msitulaumu kwani mnatufundisha uwongo na ujanja huu nyie wenyewe na mtatukoma.Badilikeni mnatuumiza.
sa atakupenda nani if I dont exist?
af ntaanza kukutokomeza wewe
kuna mwaka 1 nikiwa milambo secondary tabora, miaka ya 90 huko, tukiwa tunajisomea kwenye ukumbi wa chakula usiku kama saa 6 tulisikia kelele za mwanamke zikitokea jikoni, tukashangaa kwani kipindi hicho shule ilikuwa ni ya wavulana tu ikabidi twende jikoni kweli tukakuta mlinzi alikuwa bize akigegeda, ikabidi mlinzi astuke manake hata yeye mwenyewe zile kelele zilimstua akawa anavaa nguo yule dada hoi, nadhani alikutana na mguu wa mtoto, sasa cha ajabu tulipomuuliza kuwa kwanini umekubali kuja shuleni hujataka upelekwe guest akadai kuwa nimeambiwa kuwa hapa ni nyumbani kwake, sasa tukajiuliza mtu aweze miliki majumba yote haya ndo akulaze kwenye mabench, nikasema kweli wanawake bila uongo humpati
Mwanamke umwambie ukweli imekula kwako maana kwao ukweli ni sumu sna uongo ndio mahali pake hadi anacheka mwenyewe na anajua kua anadanganywa ila fresh kabisa na utapewa vyote
nadhani wameongelewa wasichana chini 18 ,na wadada wa kazi za nyumbani hapa , hivi mtu mzima kama mimi unidanganye urongo wa kijingajinga nakupiga maswali wawili tu unatoka Nduki , hayo mimi yule Mjomba wangu , Meli za Baba haihusu kabisa ! wewe nani na unafanya nini kama wewe !