Dk. Robert Ntakamulenga wa NEMC afariki dunia

Amekufa..alikuwa anakunywa, alikuwa anywi, hilo sio la msingi sasa..tumuombee Mungu amjalie pumziko.

Wenzio ktk uchunguzi hoja za huyu Jamaa ni mhimu sana kwa either kumbana yeye mwenyewe kwakuwa ameonesha some possible causes or dots of death eg kunyweshwa sumu ktk kinywaji mahali fulani na watu wanaomfahamu au kuzitumia hoja zake kuona kama zinaunganisha vema nukta kuelekea kwenye mauti ya jamaa
 
Ili iweje!!?
 
May his soul rest in peace. I just heard he was on his way to USA recently like last week!, what happened to him?
 
Back
Top Bottom