Sinoni
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 7,044
- 12,526
- Thread starter
- #41
Ving'ang'anizi ndio wanaodumu kwenye mahusiano/ ndoa.
Ukidai unajua kujipenda wewe kwanza utabadilisha kila mwezi.
Stress ndio penzi linakomaa.
Ila mie sihusiki aku.
tunataka kuipiga chini CCM Kwa sababu hatukuipenda bali tulilazimishwa kuipenda ma kuichagua .... Pointi yangu ichambue kutokana na mada husika