Recent content by technically

  1. technically

    JamiiForums Tanzania Kwa anayefahamu kuhusu network marketing au biashara ya mtandaoni naomba kueleweshwa 🤲🏻

    Je network marketing ni utapeli??
  2. technically

    JamiiForums Tanzania Niitieni Samia aje na makonda

    Msikiti wa bilioni ngapi vile Haya ndio maisha ya watanzania walio wengi Vipaumbele ni kujenga misikiti na makanisa Hawa watasali na kuswali sangapi ?wakati hawana hata uhakika wa kulala?? Shame on you
  3. technically

    JamiiForums Tanzania Samia hajaonekana kwenye ufunguzi wa mkutano wa 153 wa IPU jijini Arusha

    Hivi miaka hii ya 2026 bado Mnaangalia tv Tena tbc Habari?
  4. technically

    JamiiForums Tanzania Kwanini Makonda asijenge Muslim University badala ya Msikiti wa zaidi ya Tsh. Bilioni 2 pekee?

    Hii nchi uchawa umezidi Kiasi kwamba huwezi kujuwa nani timamu na nani fusi zimenyofolewa
  5. technically

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ushauri: Tugome kufanyakazi au kununua bidhaa na huduma za serikali tarehe 29/10/2026 ili kuwakumbuka waliouwawa

    Linda mgongo wako Abdul asije pita na wewe
  6. technically

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Chivayo, mke wake na wengine 3 kwa niaba ya Serikali na Wananchi wa Tanzania

    Pigo bado abdul 😃😃😃😃 Halafu mbona anaongea kwa uchungu hivi Kuna Nini kwani?? 😃😃😃😃😃
  7. technically

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ushauri: Tugome kufanyakazi au kununua bidhaa na huduma za serikali tarehe 29/10/2026 ili kuwakumbuka waliouwawa

    Ushauri: Nashauri tugome kufanyakazi au kununua bidhaa na huduma za serikali tarehe 29/10/2026 ili kuwakumbuka waliouwawa Hii itafanya serikali kuwajibika ipasavyo na ndugu zetu kupata haki Isiwepo biashara inayofunguliwa siku hiyo.
  8. technically

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Kama kutakuwa na dereva ambaye hanisikizi, familia yake itamsahau

    Hii ni ng'ombe kabisa
  9. technically

    JamiiForums Tanzania Godless Lema aahirisha mkutano wake na waandishi wa habari

    Vipi Mbowe alivyoondoka
  10. technically

    JamiiForums Tanzania Padri Kitima: Wananchi ndio waongoze mchakato wa Maridhiano baada ya kukubali tatizo lililopo kitaifa

    Mjamzito hataki kukubali kuwa ana mimba
  11. technically

    JamiiForums Tanzania Nawasanua nchi hii mpinzani wa kweli ni Lissu tu

    Hawa wengine ni waigizaji Kama mnabisha wakati utasema Hata Mange ni afisa muulize kwanini aliingia mitini kabla ya uchaguzi ? Huyu ndiye chanzo Cha watu kuuawa October 2025 . Yule pia wa bavicha ni afsa TLS ni afisa Kinatali pia ni afisa Makamo pia ni afisa Katibu pia ni afisa...
  12. technically

    JamiiForums Tanzania Hilda Newton: Kuna connection gani Kati ya Mawakili wa Serikali na Mhe. Lema?

    Uongo uwa hauna muda mrefu You can fool people sometimes but...........
  13. technically

    JamiiForums Tanzania Marry Nchimbi ni nani?

    Kuna kada wa CCM anaitwa Marry Nchimbi kafariki kibaha Je Marry Nchimbi ni nani? Mwenye CV yake
  14. technically

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi amtuhumu Lema kuishi sea cliff kwa miezi miwili sasa

    Kwani uongo pale Chadema mpinzani ni Lissu tu Ata Heche ni project ya TISS Mnyika mtumishi mtiifu wa TISS Yule dada pia mtumishi Lema amekuwa shushushu wa muda mrefu toka wakina David kafulila, Zitto, slinde, mkumbo, sema wabongo ni wajinga Subirini ya Maria salungi na Hilda network...
  15. technically

    JamiiForums Tanzania Maoni: Yaitishwe maandamano nchi nzima ili tuambiwe yupo wapi Nchimbi.

    Naunga mkono hoja Huu udenge wa Samia unatakiwa kukoma
Back
Top Bottom