Mimi poa imenichapa hii ila mi sikupata mafuanbadala yake nikapata kikohozinkikavu kikali kilivjoambatana na koo kuwasha na vjafya kali kilichodumu kwa zaidi ya wiki na kichwa kuniuma kila siku asubuhi, usiki ni jasho jingi mno kama nimemwagiwa maji, natumia asali kitunguu saumu tangawizi na...
Mimi binafsi sio mtaalamu wa maswala ya ndoa wala ila kwa experience niliyo nayo ya miaka niliyopo, nimegundua ndoa inaweza kukuharibia au kukutengenezea big time.
Unajua kila binadamu ana maono yake hata kabla hajaingia kwneye ndoa. Nilichojifumza mm ndoa haitakiwi kuwa sehemu ya kufulfil...
Hapa umeiweka vizuri, ni kweli. Kuna wakati ata mimi nikiona nafanya sana nusu kwa nusu nayeye najikuta namwambia baba fanya majukumu yako( sisi wanawake kuna ile unasikia ukiamsaidia sana unakua kama umebeba majukumu ya mume na ataacha kufanya) so kuogopa iyo kuna muda ata mm nasema ili...
Sasa kwa mentality hii ata wewe ukiwa na mtoto wa kike utaweza kumwekezea kweli?? Mwombe Mungu tu upate mtu sahihi mbaye atakuchukulia mapungufu yako na wewe utamchukulia mapungufu yake kwani hakuna aluye mkamilifu katika hii dunia. Ndoa ina nyakati za furaha na nyakati za misukosuko na hayo...
Mi sijui mnakutanaga na wanawake wa dizaini gani yaani tttu!! Mfano mimi nimelewa na mwanzo wa maisha yetu mr ndio akikua na kipato kuzd mm, ila saiv mm namzidi, mali tumechangia kuzitafuta kwa pamoja, ada za watoto analipa term mbili na mm namalizia mbili. Matumizi ya nyumbn menginemengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.