Recent content by Team JPM

  1. T

    JamiiForums Tanzania > USHAURI: Nimechoka kulipishwa $9 na SmallPDF kupunguza PDF ya Ajira Portal - Nimepata alternative ya bure na offline,

    Hongera kwa bidii na uzalendo. Ongeza features za conversion to word or excell
  2. T

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu si mahiri kwenye sheria, bali ni mahiri sana katika kuwahadaa wafuasi wake, hususani wasio jua sheria

    Kwani mapingamizi mangapi amemshinda katuga?
  3. T

    JamiiForums Tanzania Tubadilishane ujuzi hapa nataka mtu aliwe leo. Yani leo leo

    Kutongoza unashindwa interview ya kazi utaweza kuwashawishi panel members kweli wakuajili. Kama beki tatu standard seven anakushinda
  4. T

    JamiiForums Tanzania Hii ni kwa wale wanaopenda riwaya pendwa: Je, ni muhusika gani umpendaye kati ya Joram Kiango na Willy Gamba?

    Hata kama waliiga, wakufanya kazi kubwa kuakisi uhalisia. KIKOMO kuhusu wizi WA almasi Mwadui, na vingine vingi. Willy Gamba, Hana mfano. Tukimpata Jasusi mmoja Tu mwenye uwezo WA Gamba, Taifa , litasonga mbele. Uzalendo Kwanza. Kongole Kwa mtunzi hata kama alinakili
  5. T

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wasifu (CV) wa Naibu Waziri wa Elimu, Wanu Hafidh Ameir sijauelewa kabisa

    Hakuna chuo kinaitwa Online Open University of Tanzania. Atueleze alikosoma
  6. T

    JamiiForums Tanzania CHAUMMA imefanikiwa kisiasa kwa zaidi ya 100%

    Ulikuwa na jina kubwa na heshima mitandaoni, Kwa Vijana na Wana mapinduzi. 'HERI JINA JEMA KULIKO MARIHAMU NZURI' wewe umechagua Shekeli badala ya jina.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Salamu za Shukrani kwa Wanachama wa JamiiForums

    WAlioomba ufafanuzi ulikuwa mtego, Mello au Mod mwingine yeyote angejitokeza kutoa kauli, ingekuwa NI kesi kubwa kwamba amekiuka zuio Kwa kuendesha JF. Mshana arejeshe Ile namba, uchangiaji ufanyike lakini Mello au Mod wakae kimya ili kutojiingiza matatizo. Pia anayetuma, asitumie namba yake...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Walimpa kocha nafasi ya kusajili na bado kawakimbia, simba bado wana akili za kitoto.

    Akili hazikutoshi au NI QT Class. 1. Umesema kocha kawaleta wachezaji anaowataka kisha akasema aliowataka wameenda Yanga 2. Umesema ameikimbia Simba alaf unasema ana uwezo mdogo. Dogo, Fanya application VETA nafasi NI chache.
  9. T

    JamiiForums Tanzania UDSM mwaka huu kuna nini?

    1 ya 5 alaf analalamika, pale wanaenda clean tupu, Triple A.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Sijui kwanini Magufuli alilivunja jengo la TANESCO-Ubungo, pengine Polepole atujuze!

    Upande mmoja jengo la Tanesco, upande WA pili Tenki la maji. Vyote viliondolewa kupisha Barbara. Hadi stendi ya daladala ilihamishwa. Zingine NI porojo Tu, sababu NI za kimsingi wala hakuna hujuma
  11. T

    JamiiForums Tanzania Simba kumuaga Mkude ni kumnanga na kujikosha tu, asikubali

    Club kuwaaga wachezaji NI heshima kubwa. Hata Chama alipaswa aunganishwe kwenye Hilo tukio. Walipohamia Yanga, isingekuwa rahisi kuwaaga. Kwa sasa NI Jambo jema. Mchango wao kwenye Simba ulikuwa mkubwa Sana. Tena pamoja na zawadi za club. Wanachama pia waruhusiwe kuwapa zawadi. Pamoja na...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wakizeeka ndo wanakuja jukwaa hili kutafuta wenza?

    Jamii forum iWE na muongozo WA kuzuia unyanyapaa, udhalilishaji na mashambulio ya kijinsia. Kizeeka hakuna jinsia. Hivi karibuni kumekuwa na nyuzi nyingi za kuwadhalilisha wanawake, Mods, msiruhusu hili likaota mizizi. Hili NI jukwaa huru Kwa wote
  13. T

    JamiiForums Tanzania Kuhama kituo cha kazi kutoka mkoa X kwenda mkoa Y ndani ya taasisi moja

    Utafuta kazi, ukapata kazi, kafanye kazi. Hayo mazingira magumu, walioko huko wamekufa?. Wenzio hata hiyo nafasi hawana, Acha madeko
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa virus kwa computer anahitajika

    Kaspersky ndiyo ant virus, sasa unataka ant virus ipi tena?
Back
Top Bottom