Recent content by tdavie

  1. tdavie

    JamiiForums Tanzania TV4Sale Tv inch 65 Hisense Used inauzwa

  2. tdavie

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuwashwa mwili mara kwa mara- Fahamu chanzo, pata ushauri na tiba ya tatizo hili

    Hii kitu hainaga dawa specific, allergies kila binadamu anayo kwenye mwili wake na uamka wakati wowote mwili unapokutana na reaction itakayoamsha hiyo allergy , la msingi ni kugundua/kutambua ni kitu gani au mazingira gani yamechochea kuamsha hiyo hali na wewe kufanya njia ya kuepukana nayo ...
  3. tdavie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Benard James na somo kwa watangazaji wa vipindi vya muziki wa dansi

    Uzi mkali wewe kweli mpenzi wa muziki wa dansi, hapo kwa Rajab Zomboko wa Radio 1 pia Ijumaa kipindi cha HIZI NAZO kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa 7 mchana
  4. tdavie

    JamiiForums Tanzania TANZIA Sunday Mwakanosya, Mtangazaji wa Channel Ten na Magic FM afariki dunia

    Pumzika kwa amani Sunday Mwakanosya “Mtaalamu”
  5. tdavie

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanamuziki wa Bongo fleva Mandojo afariki Dunia

    Rudia tena kusoma itakuwa haujasoma vizuri
  6. tdavie

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Jiji Dodoma Joseph Mafuru amekataa kuzungumzia Ubomoaji akidai Leo ni Sikukuu Serikali haiko Kazini!

    Binadamu hawatabiriki mkuu, sasa soma habari ya PM leo kuhusu huyu Mkurugenzi amesimamishwa pamoja na wenzake kama 6 na wana tuhuma za kujibu https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/majaliwa-aagiza-kusimamishwa-kazi-watumishi-jiji-la-mwanza-4388862
  7. tdavie

    JamiiForums Tanzania Zitto: Inawezekanaje Serikali ikasaini mkataba wa shilingi Trilioni 7 kujenga Reli na vifaa vyote vikatoka Uturuki?

    Akishaamua hata ukipeleka watakupinga kwa idadi yao tu, kwani mangapi umeona wanayapinga na kuyapitisha kibabe? Lakini yakiwachachia ndio unakuta wanarudi tena na ukiwaambia tulisema kuhusu haya mkatukatalia utaambiwa wewe sio mzalendo, kuna mtu aliitwa mpaka tumbili mule au umesahau?
  8. tdavie

    JamiiForums Tanzania Homa imenizidia mie!

    Walikuwa wanaitwa KIMULIMULI Wimbo unaitwa Kisa cha Foto Album Chini ya uongozi wake Ali Zahir Zoro Search kwa You Tube utapata ulikuwa wimbo mzuri sana nakumbuka baadhi ya mistari: Wameniambia mambo yako mama eee Wamenieleza matatizo ya mume wako eee Na kisa cha we Sheri Zinduna kufika...
  9. tdavie

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Uchimbaji gesi ya Statoil yasema inafikiria kusitisha uwekezaji wake TZ, serikali imeibadilishia gia angani

    Mkuu naomba utusaidie kutudadavulia haya maneno kwa lugha yetu adhimu tupate kuelewa: "He pointed out that two new laws enacted by parliament earlier this year, the Natural Wealth and Resources (Sovereignty) Act and the Unconscionable Terms Act have changed the whole investment environment that...
  10. tdavie

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda ameripoti Kituo Kikuu cha Polisi leo, asindikizwa na jopo la wanasheria

    Kwani Ponda kaanza harakati leo? mbona huko nyuma hamkusema hivyo?
  11. tdavie

    JamiiForums Tanzania Bulaya: Nipo katika hatari kubwa, nimefuatiliwa na watu waliovalia kininja nyumbani

    Soma habari vizuri uelewe , alikwishatoa taarifa polisi na mkuu wa kituo akaanza kuwafuatilia matokeo yake kaamishwa na kituo cha kazi
  12. tdavie

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye amuwakia aliyemuuliza juu ya posti yake ya Bombadier

    Kawaida tu mbona hata wakubwa wake kwenye chama hutumia neno 'Pumbavu' Mara ya kwanza nilimsikia Ben akiwaita wapinzani hivyo na juzi nimesikia mkuu wa kaya akisema neno hilo pia kule Arusha "real G, post: 23647010, member: 123875"]Mbunge wa Mtama ameseikia akimuwakia mtu aliyekuwa akimuuliza...
  13. tdavie

    JamiiForums Tanzania List ya Business Ideas kuhusu viwanda vidogo vidogo

    Si kweli mkuu, hata Tanzania kusajili kampuni ni 24 hrs labda uniambie kuanza kufanya kazi(Operations) mpaka upate vibali vingine kutoka mamlaka mbalimbali kuhusiana na biashara yako UOTE="mdukuzi, post: 11906447, member: 194966"]nani kasdma hataki quality control na matusi ya nini,tanzania...
Back
Top Bottom