Rejao
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 9,220
- 4,056
Angalia yasijekukuta yaliyomkuta Zindunawewe ni Zinduna, mie si unajua kuna ri-afande humu rimeniarest JUMULA.
Angalia yasijekukuta yaliyomkuta Zindunawewe ni Zinduna, mie si unajua kuna ri-afande humu rimeniarest JUMULA.
Nimemuimbia weee, lakini mwenyewe walaaaa!!!!!!!!!!!!
Mzee we acha tu! Ngoja nianze kuzitumia vizuri.
mkuu unabahati sana. Hadi unabembelezwa. Mimi nimezoea kubembeleza tu.
Halafu we Kongosho una akili sana!! Umejuaje wengine huku ni madomo zege? Tunaishi tu kwa zali!! Tusipodondokewa ndio basi tena.Kama una watoto halafu huwa unaangalia nao katuni.
Rejao ana behave copyright kama Tom akimuona msichana afu akamdondokea, huwa ana mbwembwe, mara kachana nyusi na brashi, kalamba sharubu zake, tafuta gitaa fanya mazoezi ya maneno ya kumwambia, by the time anaenda kwa msichana anakuta Jerry kishaharibu.
Mwache ajiandae wajanja waharibu
angekua anaumwa hadi neno mie lingeozeka??????????????Honestly, hiyo heading imenistua sana mpendwa. Si nikadhani mtu anaumwa yuko hoi bin taabani!!!
Halafu we Kongosho una akili sana!! Umejuaje wengine huku ni madomo zege? Tunaishi tu kwa zali!! Tusipodondokewa ndio basi tena.
Dah,mamito nawe una mbwembwe,
Nikajua uko hoi bin taababi kumbe.......!
Haya bwana asante kwa kamwimbo Kawimbo/wimbolol!
Halafu kuna huu wimbo uan kiitikio
"pole Zinduna nakupa pole Zinduna (nakupa pole Zinduna)" sikumbuki wameimba kina nani tena
Halafu kuna huu wimbo uan kiitikio
"pole Zinduna nakupa pole Zinduna (nakupa pole Zinduna)" sikumbuki wameimba kina nani tena
Wow wow asante sana mkuu tdavieWalikuwa wanaitwa KIMULIMULI
Wimbo unaitwa Kisa cha Foto Album
Chini ya uongozi wake Ali Zahir Zoro
Search kwa You Tube utapata ulikuwa wimbo mzuri sana nakumbuka baadhi ya mistari:
Wameniambia mambo yako mama eee
Wamenieleza matatizo ya mume wako eee
Na kisa cha we Sheri Zinduna kufika kupewa TALAKA!
Wameniambia mambo yako mama eee
Wamenieleza matatizo ya mume wako eee
Japo mwenyewe hukutaka wanambie siri yako moyoni
(Foto Album inaleta maneno katikati ya mji wa Mwanza
Kisa ni picha ilopigwa zamani katikati ya Dar-es-Salaam'a) x 2
(Chorus)
Sheri Zinduna nakupa pole Zinduna eee
Sheri Zinduna nakupa pole Zinduna eee
Huo wimbo sio, wa mlimani park, ni wa Oss, orchestra safari sound, utunzi wake Hassan rehani bitchuka, waimbaji skass kasambula chibanda sony, Maalim Gurumo, kwenye guitar la soro Kassim Rashid kizunga, huo wimbo ulitoka rasmi mwaka 1987, na mtindo wao ulikuwa ndekule ngoma.Homa imenizidia mie,
kutwa nashinda nalia,
jua linapochomoza machozi mie hunitoka
kisa alichonitenda $Rejao, sitakisahau kamwe,
amenishawishi nimuache mpenzi wangu ili nikaishi naye,
nimeachwa na mpenzi wangu, nimekwenda kwa $Rejao, baada ya muda si mrefu asema niondoke sina tabia nzuri ooh&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];. X2
Maama yamenikutaaa, maama yamenikutaaa &[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];x2
....Ndugu zangu mlio na wapenzi, jihadhari na wadanganyifu mkaachana na wapenzi wenu mtapotea&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];
Maama yamenikutaaa, maama yamenikutaaa &[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];x2
.....Nimesimama katikati ya njia panda, jua linazidi kuzama&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG]; maaama mamamaaaa&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];
*******************************************
Nimemkumbuka Anti yangu, aupenda sana huu wimbo wa Mlimani Park