Ahaa, jamani nimemuelewa sasa huyu ndugu, msimchukie anasumbuliwa na vitu vikuu viwili, moja: Malezi kutoka kwa wazazi wake, pili: Udini, mi nafikiri kama sikosei dini yake ndo nasikia inaleta migogoro nchini Tanzania kwani wanafikiri wao wanaonewa na kila mtu.
Kosa, mtu asiwe muwazi kwao basi...