Bora ukoloni urudi kuliko CHADEMA

Bora ukoloni urudi kuliko CHADEMA

mm ciipendi ccm ila kwa chadema bora ccm mara 1000 ni wabaguzi wa dini ndo mana chama chao maeneo ya wakristo ndio wanaoshabikia wanahubiriana siasa kanisani ccm imekua na nguvu kwa sababu haijali dini wala kabila na ndio kitu wanachokupigeni bao

UAMSHO NA CHADEMA wapi na wapi, we nenda tu kajilipue hapa ni nguvu ya umma inaongea
 
Kumbe na wewe ni miongoni mwa wanaofikiria kwa kutumia masaburi,gamba gumu tu wewe huna jipya kibaraka wa magamba

jina lako tu linaashiria mfuasi wa chandimu.
 
Ukoloni ulikuja kwa nguvu isiyo ya umma, CDM inakuja kwa nguvu ya umma. Unahitaji nguvu sawa au zaidi ya ile ya umma ili kuizuia the same

nguvu ya umma ipi mnayoitangaza kwa shangwe ikiwa daily tunaskia maamuzi ya mtu mmoja mmoja ndani ya genge lenu.
 
Ahaa, jamani nimemuelewa sasa huyu ndugu, msimchukie anasumbuliwa na vitu vikuu viwili, moja: Malezi kutoka kwa wazazi wake, pili: Udini, mi nafikiri kama sikosei dini yake ndo nasikia inaleta migogoro nchini Tanzania kwani wanafikiri wao wanaonewa na kila mtu.
Kosa, mtu asiwe muwazi kwao basi anaonekana adui kwao...

Chadema M4C :israel:
 
Tatizo la chadema kila mtu mtunga uongo au mshabikia uongo

Ni kweli kabisa mkuu, c juzi tu walimvalisha raia sare za jesh kisha wakapiga nae picha, alipiga picha na mbunge wa CHANDIMU! hawa jamaa kwa kutunga uongo kibok
 
Kama mcameruni vile! sasa bani alikwambia nchi ni CCM? au unataka kusema watanzania wote ni CCM? nini haja ya kuwa na vyama vingi sasa?

Ccm ina makosa . Sawa. Je chadema haitakosea. WANANGANGANIA nchi nini hasa nia yao hawa CHADEMA
 
Vyovyote itakavyokua urais wa nchi hii hautaenda uchagani wala kaskazini hadi mwisho wa dunia
 
Back
Top Bottom