Baada ya sare ya bao 1 kwa 1 kati ya timu ya Polisi ya timu ya Raia... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya sare ya bao 1 kwa 1 kati ya timu ya Polisi ya timu ya Raia...

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by CORAL, Jun 26, 2012.

 1. CORAL

  CORAL JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,471
  Likes Received: 578
  Trophy Points: 280
  Shabiki wa timu ya raia aliyefadhaishwa na matokeo ya mechi anamuuliza mchezaji:
  Shabiki: imekuwaje mkatoka sare na timu ya Polisi? Mbona timu yenu kiwango chake ni cha juu na ina historia ya kuzifunga timu kubwa?
  Mchezaji: tungeweza kuifunga polisi mabao mengi tumeogopa kubambikiwa kesi!
   
 2. T

  TUMY JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ha ah ah ah ah ah kibongo bongo inawezekana kabisa.
   
 3. CORAL

  CORAL JF-Expert Member

  #3
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,471
  Likes Received: 578
  Trophy Points: 280
  Kabisaa..
   
 4. T

  Tbs. Member

  #4
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tse tse tse
  mbavu sina
   
 5. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #5
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,152
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  khaaah!yalabi tobaaaaa!
   
 6. kijembeee

  kijembeee JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 411
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  kwa visingizio hatujambo,
  mtu hali chakula akiulizwa eti anafanya diet
  nguo njiwa akiulizwa anasema pedo
  mtu ana kwashiorkor akiulizwa eti kitambi
  mwalimu mvivu kufundisha akiulizwa anakuambia yeye anacontribute 20% nyingine tafuta mwenyewe
  raisi dhaifu akiulizwa anasema watendaji wanamuangusha
  wanasiasa waongo ukiwauliza wanakuambia CCM ndo shida
  wadada zetu vicheche ukiwauliza wanakuambia ulichopewa tumia
  Tanzania maskini afu ukiuliza utaambiwa Watanzania wavivu hawapendi kazi,wakati kazi zinatafutwa kama lulu
  Adamu kala tunda alilokatazwa,kaulizwa kwanini amekula eti kajibu huyu mwanamke ulienipa....... kama vile wanashea mdomo
   
 7. CORAL

  CORAL JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,471
  Likes Received: 578
  Trophy Points: 280
  Yaani umehitimisha!
   
 8. b

  beyond heaven Member

  #8
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  yeah men......thats fact
   
Loading...