funguo,
Wewe ni mgeni katika mijadala kama hii!
Hakuna hasiyejua uozo na uharo wa Ndalichako!
Aliondoka kwenye nafasi yake kwa kashfa ya kuwafelisha waislam, na sababu alizozitoa ni pumba kabisa!
Eti computer ndio zilikosea na kufanya ndivyo sivyo!
Kwa faida yako na wengine ni kwamba...
Mwiba utokea ulipoingia!
Hakuna njia nyengine kijana!
Labda kama mods ni makasisi, wataufunga huu mjadala!
Mjifunze kuvumilia na kusoma hata yale msiyoyapenda, UKWELI mchungu lakini lazima usemwe!
Ukipata fursa somea hata "mahusiano ya kimataifa" uongeze ufahamu wa hayo majambo!
Kwa hilo bandiko lako umeonesha udhaifu mkubwa mno wa umuhimu wa hizi jumuiya!
Labda useme unataka Tanzania iwe kisiwa, hapo nitakufahamu "poti"
Inaonekana wewe ni mgeni na majambo haya!
Kuna wakina John huko Africa ya magharibi wanaitwa Aunt Baraka, kazi yao ni kuuwa!
Hilo ni kundi la kigaidi hapa hapa Africa!
Hata huko Ulaya yapo!
We binti gimanini,
Wewe inaonekana unatumia ubongo wa kuku kufikiri, au unatumia "masaburi"
Teh teh teh!
Hivi wale magaidi wa Ireland waliokua wakiua Wazungu wenzao walikua Waislam?, na wale Shangazi Baraka nao ni Waislam?
Hao wote ni Wakristo na magaidi wauwaji wakubwa!
Uenda HABARI hizi...
Manyerere Jackton,
Ni kweli watu humu tunataka kusikia habari za "ubuge" mkienda kucover story!
Kubishana na watu kuhusu namna gani pesa za walipa kodi walala hoi zinavyoteketea sio STORY, huko kunataka "moyo" na akili ya "mwendawazimu"
Moderator Invisible na Paw futeni na hii comment kama...
Manyerere Jackton,
Bado heshima yako imeshuka Mura!
Kwakua mawazo yako yameganda kwenye "ubuge" tu!
Mh. Rais alivaa vazi la Taifa? Au kitu chochote made in Tanzania?
Chukua HOJA nzito zitakazokujengea HESHIMA kwa faida ya walipa kodi walala hoi!
Vinginevyo unaonekana ni kundi lile lile la...
Manyerere Jackton,
Hivi kweli shida za Watanzania ni kusikia mlichokula na kunywa huko Chamwino?
Nilitegemea hoja nzito za kichunguzi toka kwako kama vile kwanini Mh. Rais JPM katumia "Toyota Hilux" Dar - Dodoma (kwa mujibu wa bandiko lako) wakati Gulf Stream iko Geneva?
Je, huyo alokwenda...
Inaonekana hilo jambo limekushtua mno!
Leo mtu anaeonesha kudhulumiwa HAKI yake unamuhita muhuni?!!
Mko wengi sana hapa JF watu wenyewe chuki na Wazanzibar tena hasa uislam!
Kule kwenye UZI wa Professor Assad nilishakuonya baada ya kuonesha chuki zako za wazi zidi ya uislam wake!
Nakuonya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.