Kumbaku:- Huo ndio utaratibu, nadhani ukishajua utaratibu then kinyume cha hapo utajua unatapeliwa,,,,,,,,itakuwa ni juu yako kukomaa usilipe hicho cha juu au uwalipe upewe sticker,,,,,,,binafsi sijawahi kulipa tofauti na inavyotakiwa
Ni kweli sasa hivi sticker ya fire inalipiwa TRA ikiunganishwa pamoja na Motor vehicle licence LAKINI baada ya hapo hakuna malipo mengine.......unaenda ofisi za Fire na hiyo receipt ya malipo na mtungi wako wa gas, wanatakiwa waukague na kama hauna kasoro wanatakiwa wakuandikie sticker,period.
............................. wapya na nitakuliwaza kama mashairi ya Wasakatonge,napenda tuwe kama Kiima na Kiarifu,au fani na maudhui,penzi letu lidumu kama Fasihi Andishi,Vp upo tayari tufanye unyambulishaji na Uambishaji? Jamani nakupenda kama kumbikumbi wanavyopendana......
Imetulia......
Hata ulichoandika ukadai kimefanyika kwenye halmashauri sicho,,,Mkurugenzi hana mamlaka ya kufanya yalofanyika bila kibali cha baraza la halmashauri,maamuzi ya wajumbe wengi (madiwani) ndio yatakayotekelezwa na Mkurugenzi,haamui mwenyewe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.