Mkurugenzi Mbeya: Wafanyabiashara wanatumika tu!

CHADEMA unscrupulous politicians are conspiring with bandits to launch violent demonstrations in order to confront the ruling party from implementing its election manifesto. We have recently witnessed a series of manipulated rallies and demonstrations which are deliberately engineered for the purpose of making it difficult for the government to execute its development duties. As a result the government is now unnecessarily forced to relocate its budget funds and commit them to expenses incurred by security forces while dealing with CHADEMA violent protesters which in turn will have a disastrous effect to the country's economy wellbeing. As far as I can see, I still believe that CHADEMA leaders are capable of helping our government to build our country's future and can do better than choreographing needless rallies and demonstrations which are of no help to an average citizen.
Kwa hiyo machinga wote ni Chadema sasa.
 
Na yeye huyo Mkurugenzi wa Manispaa Mbeya asema na yeye anatumika na nani!!

...anatumika na Magamba, lakini wanachokosea ni kushindwa kusoma alama za nyakati na pia kujua kwamba nguvu ya umma siku zote hushinda nguvu ya dola.
 
usikurupuke kuandika tu ilimradi umeandika. Sisi tunazungumzia kinachofanyika huko kwenye halmashauri wewe unazungiumzia nadharia.
Nadhani wewe ndio unakurupka. Ni maamuzi gani yaliyofikiwa na halmashauri ambayo mkrugenzi hakuyatekeleza? Maamuzi ya halmashauri ni sheria, na kabla ya kutekelezwa Budget officer huipa litmus test kama yatatekelezeka kutokana na funds zilizopo, kwa mfano huwezi kutaka kujenga overpasses mbeya kwa kutumia sheria za halmashauri kama funds hazipo, hapo ndio mikwaruzano kati ya technocrats na wanasiasa yanapoanzia.
 
CHADEMA unscrupulous politicians are conspiring with bandits to launch violent demonstrations in order to confront the ruling party from implementing its election manifesto. We have recently witnessed a series of manipulated rallies and demonstrations which are deliberately engineered for the purpose of making it difficult for the government to execute its development duties. As a result the government is now unnecessarily forced to relocate its budget funds and commit them to expenses incurred by security forces while dealing with CHADEMA violent protesters which in turn will have a disastrous effect to the country's economy wellbeing. As far as I can see, I still believe that CHADEMA leaders are capable of helping our government to build our country's future and can do better than choreographing needless rallies and demonstrations which are of no help to an average citizen.
Eeee Baba..., Umsamehe huyu kwa maana Halijui Alisemalo.. Labda katumwa tu na magamba... Sio mawazo yake halisi anayoyawaza, its likely that he has been food and become a fool.. O.M.G...
 
Polisi waendelee kutoa kipigo kikali na kuwakamata wale wote wanaofanya vurugu.nchi hii hatuwezi kuona inavurugwa na wanasiasa kwa uroho wao wa madaraka.Rais ni KIKWETE CDM wanapaswa kufaham hilo waache kuratibu vurugu hapa nchini za kumuondoa J.K madarakani.
Dawa yako ni kuku dushelele ndo utaacha kupita kwa wanaume
 
Polisi waendelee kutoa kipigo kikali na kuwakamata wale wote wanaofanya vurugu.nchi hii hatuwezi kuona inavurugwa na wanasiasa kwa uroho wao wa madaraka.Rais ni KIKWETE CDM wanapaswa kufaham hilo waache kuratibu vurugu hapa nchini za kumuondoa J.K madarakani.

Kama uliyosema hapo ni kweli kwa nini mmemwangukia Sugu? Mbeya wameonesha kwa vitendo rasasi na mabomu hayawezi hata siku moja kupambana na nguvu ya umma.
 
Mkuu nguvu ya umma inzaendelea Syria, bahrain.... mpaka tunavyongea hivi sasa. Mbeya, Arusha hakuna knachoendelea mpaka sasa hivi.
Ukiona watu wame give up, ujue huo si umma niu kundi la watu. Ungeona mbinde iliyotumika kuhamisha watu mta wa Congo ungedhani ni mwisho wa dunia, lakini walihama.
 
CHADEMA unscrupulous politicians are conspiring with bandits to launch violent demonstrations in order to confront the ruling party from implementing its election manifesto. We have recently witnessed a series of manipulated rallies and demonstrations which are deliberately engineered for the purpose of making it difficult for the government to execute its development duties. As a result the government is now unnecessarily forced to relocate its budget funds and commit them to expenses incurred by security forces while dealing with CHADEMA violent protesters which in turn will have a disastrous effect to the country's economy wellbeing. As far as I can see, I still believe that CHADEMA leaders are capable of helping our government to build our country's future and can do better than choreographing needless rallies and demonstrations which are of no help to an average citizen.

@Bundajo, On the red: Who are these CHADEMA politicians? And who are the bandits? Are you calling the people of Mbeya bandits? And if it is true that these people are bandits why didnt this government of yours arrest them? Why wait until now?

I find this statement shocking that a Tanzanian will call those hard working people in Mbeya bandits? And without a shame you are suggesting the reason this govenment has failed to deliver on almost every promise it made is becuase of CHADEMA protest? Have you ever heard something called GRAND CORRUPTION?

Ironically, fighting corruption was in your election manifesto. And since this message (I believe) was intentionally prepared for donors so that they continue to give you more money (for your stomach) it will be more effectively if you can also update them about your efforts in fighting corruption!

In my view the word bandit will be more appropriate to discribe the ruling party. Except for Nyerere's time, for decades CCM has robbed Tanzanians in every way you can think of. You have destroyed this country. And now that people are fighting back you're calling them bandits?
 
CHADEMA unscrupulous politicians are conspiring with bandits to launch violent demonstrations in order to confront the ruling party from implementing its election manifesto. We have recently witnessed a series of manipulated rallies and demonstrations which are deliberately engineered for the purpose of making it difficult for the government to execute its development duties. As a result the government is now unnecessarily forced to relocate its budget funds and commit them to expenses incurred by security forces while dealing with CHADEMA violent protesters which in turn will have a disastrous effect to the country's economy wellbeing. As far as I can see, I still believe that CHADEMA leaders are capable of helping our government to build our country's future and can do better than choreographing needless rallies and demonstrations which are of no help to an average citizen.

How many times has CDM tried to help the gvmnt?
-Do you remember the list of shame?, the MEREMETA saga, EPA, KAGODA,Deepgreen and the likes, leave alone the RICHMOND and Buzwagi Saga. what has your good gvnt done todate? by the way how is realocating 111bilions for DOWANS(aka RA, EL and JK) going on?
These are the killers of our nation and CDM has always been seriously in forefront adressing these issues with clear evidences.
Use of bullets and bombs against citizens whom you claim elected you kwa kishindo, is a clear sign of a falling gvnt.
 
CHADEMA unscrupulous politicians are conspiring with bandits to launch violent demonstrations in order to confront the ruling party from implementing its election manifesto. We have recently witnessed a series of manipulated rallies and demonstrations which are deliberately engineered for the purpose of making it difficult for the government to execute its development duties. As a result the government is now unnecessarily forced to relocate its budget funds and commit them to expenses incurred by security forces while dealing with CHADEMA violent protesters which in turn will have a disastrous effect to the country's economy wellbeing. As far as I can see, I still believe that CHADEMA leaders are capable of helping our government to build our country's future and can do better than choreographing needless rallies and demonstrations which are of no help to an average citizen.

Simply....an a.s.s. h.o.l.e...type of mindset.! Nuff said.
 
Mkuu nguvu ya umma inzaendelea Syria, bahrain.... mpaka tunavyongea hivi sasa. Mbeya, Arusha hakuna knachoendelea mpaka sasa hivi.
Ukiona watu wame give up, ujue huo si umma niu kundi la watu. Ungeona mbinde iliyotumika kuhamisha watu mta wa Congo ungedhani ni mwisho wa dunia, lakini walihama.
Ni CDM pekee wenye haki na authority ya kuwaeleza wanambeya wahame na wakasikilizwa(Muulize Kandoro akumegee siri), Magamba hayaoneshi hata sura zao barabarani katika jiji la Mby hivi sasa.
Wanambeya wanamjua kiongozi wao ni nani na mtawala wao ni nani.
 
Huyu Mkurugenzi kweli anatumia masaburi kufikiri...eti wanatumika!!Hao wafanya biashara wana familia,wanasomesha,wamepanga kwenye nyumba ambapo wanatakiwa kulipa kodi nk. Leo mnawafukuza wasifanye biashara ambazo ndizo wanazozitegemea kuendesha maisha yao unategemea nini hapo...wafe!! au wakale polisi?Ma DED wa namna hii niwakuwafukuza kazi.TAFAKARI.
 
Mimi nafikiri sisi Wana-CCM na serikali yetu tusikimbie majukumu yetu kwa kutafuta kichaka cha kujifichia kwa kila kitu tunaposhindwa kutatua tunakimbilia kusema CHADEMA, CHADEMA,CHADEMAAAA. CHADEMA wana nini kiasi kwamba tunawapa sifa kubwa kiasi hicho? Mimi nafikiri muda umefika tuwe makini ktk kutatua kero za wananchi ili hao CHADEMA wakose la kuwaambia wananchi. Na hii inawezekana kwani ILANI yetu ya CCM tukiitekeleza hakika hata wananchi watarudisha imani kwetu. Niwaombe tu viongozi wetu wa Chama na Serikali kwamba kama wameshindwa kazi, basi watupe sisi vijana tusiofungamana na kikundi chochote ndani ya Chama ili tupige kazi; kwani uwezo, dira, vision, elimu na hata uzoefu tunao ktk utendaji uliotukuka. Nendeni mkaulize pale......................rekodi yangu. Ebu tuache kuwapa sifa hawa Chadema na badala yake tutimize majukumu yetu. CCM Hoyee!!!!!!!!!!!!!!

Uzidi kubarikiwa....atleast kwani wewe pekee ndiye unaye ona reality...wengine wameamua kuziba masikio na pamba.
 
Mimi nafikiri sisi Wana-CCM na serikali yetu tusikimbie majukumu yetu kwa kutafuta kichaka cha kujifichia kwa kila kitu tunaposhindwa kutatua tunakimbilia kusema CHADEMA, CHADEMA,CHADEMAAAA. CHADEMA wana nini kiasi kwamba tunawapa sifa kubwa kiasi hicho? Mimi nafikiri muda umefika tuwe makini ktk kutatua kero za wananchi ili hao CHADEMA wakose la kuwaambia wananchi. Na hii inawezekana kwani ILANI yetu ya CCM tukiitekeleza hakika hata wananchi watarudisha imani kwetu. Niwaombe tu viongozi wetu wa Chama na Serikali kwamba kama wameshindwa kazi, basi watupe sisi vijana tusiofungamana na kikundi chochote ndani ya Chama ili tupige kazi; kwani uwezo, dira, vision, elimu na hata uzoefu tunao ktk utendaji uliotukuka. Nendeni mkaulize pale......................rekodi yangu. Ebu tuache kuwapa sifa hawa Chadema na badala yake tutimize majukumu yetu. CCM Hoyee!!!!!!!!!!!!!!

Umenena vema mkuu! ila naomba jina lako vizuri nifuatilie record zako, maana ingawa inawezekana, lakini ni vigumu kumpata mtu msafi ndani ya chama cha magamba(Sofia Simba shaidi yangu). Yaani wizi wote wa EPA,MEREMETA, Deepgreen, Richmond na sasa bilioni 111 za kuwalipa DOWANS(aka RA,EL na JK) bado uko ndani tu na usafi wako? lazima uwe jasiri sana mkuu. Au na wewe ni miongoni mwa wale wapambanaji feki wa ufisadi, lakini kumbe walifadhiliwa hadi harusi na wazee wa EPA(according to Sofia Simba).
 
Twahil, hicho ndicho ulichoweza kufikiri? Urais tu? Nani kakataa kuwa jk si rais. jk ni rais wa watu wachache tu katika nchi hii. Ni rais kwa mujubu wa sheria lakini si kwa mujibu wa kukubalika na watu. Twahil, habari za uswizi? Kama upo tz, basi wewe ni fisadi.
 
Ni lazima aseme hivyo, mkurugenzi ni manamba na kwa hiyo anatetea kibarua chake kwa mabwana zake. Na wala msiseme anatumia masaburi kufikri.
 
Nadhani wewe ndio unakurupka. Ni maamuzi gani yaliyofikiwa na halmashauri ambayo mkrugenzi hakuyatekeleza? Maamuzi ya halmashauri ni sheria, na kabla ya kutekelezwa Budget officer huipa litmus test kama yatatekelezeka kutokana na funds zilizopo, kwa mfano huwezi kutaka kujenga overpasses mbeya kwa kutumia sheria za halmashauri kama funds hazipo, hapo ndio mikwaruzano kati ya technocrats na wanasiasa yanapoanzia.

Baraza la manispaa ya moshi lilipitisha azimio la kuwalipia ada watoto wote toka familia masikini waliofaulu kuingia sekondari laikini mkurugenzi akakataa!

Nimesema msizungumzie nadharia tu, jitahidini kufahamu uhalisia wa mambo ukoje huko kwenye halmashauri na sio mnakurupuka tu kuandika.
 
Habarini za asubuhi wana jf nimefurahi sana kuingia kwenye game la watu wenye upeo wa kufikiri pamoja sana
 
arudishe hela za maji, ahame mbeya, ufisadi uishe ndo atasikiliwa. hawa watu wapumbavu wanadhania watu watakuwa wajinga siku zote
4star.gif
ThumbsUp.gif
ThumbsDwn.gif
“You may fool all the people some of the time, you can even fool some of the people all of the time, but you cannot fool all of the people all the time.” Abraham Lincoln
 
Back
Top Bottom